Celebrate with me: Today is my birthday

Celebrate with me: Today is my birthday

Birthday-Wallpapers-With-Quotes.jpg
 
Hongera kwakumbukumbu yako ya kuzaliwa. Afya yako ni jambo muhimu sana litakalokuwezesha kufikisha miaka mwingine kama uliyonayo. Chezea pesa, kazi n.k lakini usijaribu kuichezea afya yako. Endelea kuishi mkuu!
 
Thanks a lot Zikomo Songea, dah wewe jamaa umenigusa sana kwa maneno yako. Uko sahihi kabisa ndugu. Nimechukua ushauri kwa moyo mkunjufu
 
Kausha mzee birthday ni za watoto mbona mimi birthday yangu kila siku lakini nimevunga
 
Back
Top Bottom