Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Jamaa umekaa kimama mama sana
KudangaCelebrities wengi wa bongo kichwani hamna kitu, wanajua njia moja tu ya kutafuta pesa
Ambayo ni ......?Celebrities wengi wa bongo kichwani hamna kitu, wanajua njia moja tu ya kutafuta pesa
Ambayo ni....Celebrities wengi wa bongo kichwani hamna kitu, wanajua njia moja tu ya kutafuta pesa
Yalaaah!Hongera zake huyo mama anajituma sana kwenye kutafuta mpunga sema lile video lake la kujichokonoa kule XVIDEOS lina mshushia sana heshima.
Jiulize angekua mke wa Kiba angepata hizo deals?? Me nadhani Mond ndiyo source....hata angekua Wema...Jokate...Penny wamezaa na mond wangepata deals kama ambazo now anapata zari. Kingine makampuni yanaangalia nani yupo sokoni kwa sasa, na si ubishi kuwa kuzaa kwake na chibu kumemfanya awe hivyo.
Anaitwa nani yule dadaUtampatiaje uambassador mtu kila siku anavujisha mapicha ya ngono mitandaoni!
Halafu angalia mfano yule dada aliyefanya video na diamond marry you alivyokuwa anapost kila siku kwenye page yake, angalau anaonyesha anathamini kazi yake!
Sasa hawa jitu likipewa pesa basi ndio linaondoka mazima!
Kifupi hawajui kumfanya mtu atamani kufanya nao kazi
Wanajua tu kuzifanyia brand papuchi zao tu,huko hakuna anayewafikia
sijui jina lake halisi ila instagram anatumia @-jess-slayAnaitwa nani yule dada
Zari ana ubibi gani? Mwangalie tangu alipokuwa binti mdogo alikuwa anajitambua, na ndio sababu aliweza kuwa na ivan na kuwa na familia bora, japo zari sio bibi ila huyo wema atakapokuwa bibi atakuwa amechooka na unga....... we mtu una kashfa za kubwia unga, kampuni gani itakutaka?Wamekosa kuwa mabibi kama Huyo.
Ngoja wakina Wema wakiwa watu wazima nao watakula mikataba minono kama hiyo.
Kwani zari hana picha au video akiwa uchi anajipiga puchu?sisi tuna tabia ya kushobokea wageniUtampatiaje uambassador mtu kila siku anavujisha mapicha ya ngono mitandaoni!
Halafu angalia mfano yule dada aliyefanya video na diamond marry you alivyokuwa anapost kila siku kwenye page yake, angalau anaonyesha anathamini kazi yake!
Sasa hawa jitu likipewa pesa basi ndio linaondoka mazima!
Kifupi hawajui kumfanya mtu atamani kufanya nao kazi
Wanajua tu kuzifanyia brand papuchi zao tu,huko hakuna anayewafikia
Kafunga lini ndoa?Uko vizuri Mkuu Zari anajitambua sana tu pamoja na majaribu mengi ya kuwa mke wa DP lakini kasimama kidete kuhakikisha mapenzi ndani ya ndoa yao yanaendelea kuwepo badala ya kuendekeza ujinga ujinga wa kuwa na huyu, yule na yule kila baada ya muda mfupi. Yuko stable ndani ya ndoa yao na hivyo makampuni yanakuwa na imani naye, "we can count on this lady"