Celebrities wa kike Bongo wanakosa nini ambacho Zari anacho?

Celebrities wa kike Bongo wanakosa nini ambacho Zari anacho?

Simply wa hapa bongo hawajiheshim. Watu wana skendo.. na mapicha kibao ambayo si mazuri. Alaf pia badala ya kuelimisha jamii.. ndio.wanaipoteza sababu ya matendo yao. Sasa hata kama ni mimi na kampuni siwez chagua mtu wa celebrity mwenye taswira isyopendeza kufanya nae kazi.

Big up zari
 
Jiulize angekua mke wa Kiba angepata hizo deals?? Me nadhani Mond ndiyo source....hata angekua Wema...Jokate...Penny wamezaa na mond wangepata deals kama ambazo now anapata zari. Kingine makampuni yanaangalia nani yupo sokoni kwa sasa, na si ubishi kuwa kuzaa kwake na chibu kumemfanya awe hivyo.
 
Hawa wetu bangi,mirungi,sembe,viroba na shisha vyote vyao,..hamna kampuni kubwa inayoweza kubeti kwao!
 
Jiulize angekua mke wa Kiba angepata hizo deals?? Me nadhani Mond ndiyo source....hata angekua Wema...Jokate...Penny wamezaa na mond wangepata deals kama ambazo now anapata zari. Kingine makampuni yanaangalia nani yupo sokoni kwa sasa, na si ubishi kuwa kuzaa kwake na chibu kumemfanya awe hivyo.

Hapana wangeweza kuzaa na Chibu na kutosaka hela na kuishia kurusha visivyovutia katika picha, tunarudi kwa mengine alitowazidi waliyosema wengi humu. Walitoka na Diamond hawakumjua ni mwanaume anayependa nini au mwanamke wa kivipi, walijali kutanua tuuuuu. Pia Zari ana mengi sana amejivunia, zaidi ya wa nchini TZ.
 
Utampatiaje uambassador mtu kila siku anavujisha mapicha ya ngono mitandaoni!
Halafu angalia mfano yule dada aliyefanya video na diamond marry you alivyokuwa anapost kila siku kwenye page yake, angalau anaonyesha anathamini kazi yake!

Sasa hawa jitu likipewa pesa basi ndio linaondoka mazima!
Kifupi hawajui kumfanya mtu atamani kufanya nao kazi

Wanajua tu kuzifanyia brand papuchi zao tu,huko hakuna anayewafikia
Anaitwa nani yule dada
 
Wamekosa kuwa mabibi kama Huyo.

Ngoja wakina Wema wakiwa watu wazima nao watakula mikataba minono kama hiyo.
 
Wamekosa kuwa mabibi kama Huyo.

Ngoja wakina Wema wakiwa watu wazima nao watakula mikataba minono kama hiyo.
Zari ana ubibi gani? Mwangalie tangu alipokuwa binti mdogo alikuwa anajitambua, na ndio sababu aliweza kuwa na ivan na kuwa na familia bora, japo zari sio bibi ila huyo wema atakapokuwa bibi atakuwa amechooka na unga....... we mtu una kashfa za kubwia unga, kampuni gani itakutaka?
 
Utampatiaje uambassador mtu kila siku anavujisha mapicha ya ngono mitandaoni!
Halafu angalia mfano yule dada aliyefanya video na diamond marry you alivyokuwa anapost kila siku kwenye page yake, angalau anaonyesha anathamini kazi yake!

Sasa hawa jitu likipewa pesa basi ndio linaondoka mazima!
Kifupi hawajui kumfanya mtu atamani kufanya nao kazi

Wanajua tu kuzifanyia brand papuchi zao tu,huko hakuna anayewafikia
Kwani zari hana picha au video akiwa uchi anajipiga puchu?sisi tuna tabia ya kushobokea wageni
 
Uko vizuri Mkuu Zari anajitambua sana tu pamoja na majaribu mengi ya kuwa mke wa DP lakini kasimama kidete kuhakikisha mapenzi ndani ya ndoa yao yanaendelea kuwepo badala ya kuendekeza ujinga ujinga wa kuwa na huyu, yule na yule kila baada ya muda mfupi. Yuko stable ndani ya ndoa yao na hivyo makampuni yanakuwa na imani naye, "we can count on this lady"
Kafunga lini ndoa?
 
1/Wakibongo sio wazee kama zari
2/hawafanyi plastic surgery kama zari
3/hawana watoto wengi kama zari
4/wana matako makubwa kuliko zari
4/hawana Heeilaaaa kama zari
5/ni wazuri kuliko zari
5/?
 
Wabwia unga mateja wauzapapuchi labda kama kampun ya ngono u risk biashara yako kwa wacheza vigodoro[emoji23][emoji23] zari ni next level [emoji382][emoji382] majitu yamepokezana mshedede wa mondi wameambulia hewa mganda kajua kumtumia roho zinawauma hata wamuite majina yotee kisa watoto watano rohoni kuna wasuta nao wanapenda kuitwa mama lakini vyuma vimekaza walivitupa sana chooni.
 
Back
Top Bottom