Celebrities wa kike Bongo wanakosa nini ambacho Zari anacho?

Elimu ya kujitambua.....
 
Kuna criterias nyingi za kuangalia, kuanzia unapolala mpaka unavyojiweka, Zari has all these, she's a classy woman somehow to compare with the local ones.
 
Nafikiri kuwa "Sokoni" kwa wakati huu ndio sababu.
Kama kudanga huyo Zari kadanga sana,mapicha ya uchi mpaka video,abortion sana na ukiruka njia kafanya .
She is business orientede,marketable na beautiful....for the time being.
Amejitambua.Katulia...kwa saa hizi.
 
Wanakosa akili na kutojitambua" + hawana goals tamaa za muda mfupi zinawasumbua
 
Onhooo umenena
 
Bwanawake wa bongo ni shida

Wema sembe. Bangi
Masogage sembe
Wolper bangi
Gigi man picha za uchi bangi
Amba Lulu bangi sembe

Kila demu na skendo

Zari apati mama yy Bali jina la mondi ndio linamuinua na kumtangaza

Wema alikua huu ila alijiona yy ndio anaetangaza jina la mondi na kujiona super star sasa, amekua super star kwa jina la ngada
 
Tatizo shule kichwani hamna...
Ndo maana LOWASSA alikua anasema vipaombele vyake ni:-
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
 
Celebrities wengi wa bongo wanaji brand kwa matukio mengi ya uongo na ya uzushi na yasiyo mazuri... mtu anafumua mitusi ovyo kama hana akili nzuri nani ataenda kufanya nae biashara... mtu anatafuta sifa za kijingine wakati hakuna cha maana chochote anachokifanya...
 
Hoja ya maana
 
Kujitambua kwa kubadili wanaume kama nguo?!

Umemjua Zari akiwa na Dimond nini?!Pitia Pitia mitandao ya Uganda Zari hana tofauti yoyote na Wema.Tena huko kwenye Unga Zari Ana kashfa ya kuuza kabisa nini kutumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…