Si kila anayetoa mpaka ajitangaze kwa mabango,vipeperushi na media!
Baadhi ya imani zinakataza kabisa hiyo kitu.
Hao uliowataja unauhakika gani wa kutokutoa?
Shule zimefungwa kwa sababu ya janga hili la Korona.!!! Kwa hiyo baadhi ya Hawa wanafunzi kama mtoa mada wanashindwa kutafautisha Mambo muhimu ya jamii.
Wenyewe wazee wa slope a.k.a kitonga hapo walipo wanasubiria kuambiwa kuna pesa zimetengwa kwa ajili ya kampeni ya Corona utawaona wanavyotoana damu na kutafutana mchawi.