Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

Mkuu umefungua uzi kumtukanisha huyu mwanamke?

Sifa za mwanamke mrembo wewe unazipeleka kwenye uzuri!

Ungelimsifia urembo, siyo uzuri, tena kwa kumsifia kijanja, kuliko ulivyoliigia jukwaa kichwa kichwa.

Umeona watu walivyotapika? Mkaachaga!
 
Hapana Mkuu lengo sio kumtukanisha ndio maana nikaanza kwa kusema uzuri upo kwenye macho ya beholder maana yake kila mtu ana definition yake ya uzuri kwangu mimi nimemuona ni mzuri kuzidi wote
 
Hata Soudybrown alikuwa wa kwanza kuripoti,Shigongo mwenyewe source yake ilikuwa U heard ya Soudy.
muziki wake nilikua napenda kuangalia mapajayake,sikua nafata kabisa muziki...mara ikawa kimya hata jina nilisahau
 
Tunda
Screenshot_20190814-215942~2.jpeg
 
Demu wa mchizi hana maajabu,Kama ni mkeo bora utafute mchepuko.
 
Back
Top Bottom