Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

Mtoto wa Abdulkareem Atik,katoto kazuri hako toka kadogo,kitambo hicho pande za Sinza D' ,mabaharia tunakajua toka kachanga..
 
Asha Piga ndoa mbili huyo na zote kaachika
Ukiona mwanamke kaachwa na mwanaume ujue tatizo lipo kwa mwanamke maana hakuna mwanaume anakubali kukiachia kitu kizuri
 
Reactions: amu
Anaanzia wapi kunizidi hahahahah lol..

Wkt ukiniona unaweza toka mbioo hahah

Mimi naskiaga mademu wa JF wote ni visu balaha!

ningeshangaa sana kama huyo angekuwa anakuzidi wakati mimi namuona wa kawaiiiiiiida.
 
angekuwa mzuri asingeachika tena mara mbili, lazima ana tatizo/ubaya huyu malaya
 
Ni mzuri mno, kuna kipindi nilisikia ameolewa sijui iliishia wapi. Pia namzimiaga sana Rose Ndauka though naona kaanza kuzeeka
 
Kwa leo acha nimalizie na hii huyu dada mzuri bwana kama kuna mtu anayo connection anisaidie
 

Attachments

  • C1FFF290-13AD-419B-AE10-2B16C3090B75.jpeg
    29.8 KB · Views: 36
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…