Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

Sanchi kweli ana tako la kufa mtu lakini uzuri hana kuna tofauti kati ya mwanamke mwenye tako na mwanamke mzuri mkuu hebu tafakari kidogo.

Mkuu inaonekanwa wewe ni wale wanaobabaika na rangi nyeupe, mana huyo demu mimi sijaona kitu kabisa.

Na kuhusu tako mkuu, hivi wewe kipimo cha uzuri wa mwanamke kwako ni nini? Mana tako ndio kiungo namba moja kwa mwnamke kinachovutia. Na ndio mana ukaambiwa Uzuri wa Nyumba ni Choo.
 
Wambie master

Ova
 
Username yake ya instagram?
 
Mkuu embu nipe hii elimu.. Naihitaji sana
Midomo mikubwa na mipana huyo ni mama huruma. Hamnyimi mtu bali huwahurumia wanapomlilia. Midomo membamba na kidomo kidogo ni msemaji kama kameza betri ya chapa paka pacha. Akiwa na macho maangavu huyo ni kicheche tena chunga sana pochi yako. Vifundo vimevimbiana na miguu milonjo jua huyo ni mtera
 
Ahhh tusemage ukweli jmn
Bila kupepesa macho huyu dada ni mzuri

Tatizo linakujaga kwa wadada kama hao unajikuta unaweka matarajio makubwa kweli yani unadhani mashine itakuwa tamu kama uzuri wake ukienda kupiga unakuta kawaida ndio hapo utashangaa mtu kama huyo hadumu na wanaume kwenye mahusiano sababu body ni la v12, engine ni ya passo sasa inakuwaga shida kwakweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…