PM me your addy and I will send you a copy.
Haaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaa.......unihekisi kweli.lihombi na lihona tu?ukosiwi chikandi na mangatungu.nivinagu but not yamahela ngati ya Albati.kwa vazungu Huku mutukaa chinu lepa.vijova chindu cha Muhimu kuvikaa hela yaku mu bank.za mahengu ku nyumba vya yumwikii?
Hahahahajahaha Mit na Deo Corleone
Mtanilipa mbavu zangu!
Chenjeeelaaaayi!
Kota kuheka ne mweene weeenga ,ngati nimkosili kweeeli dada Fixed Point na kaka peter w mselewa
hilo ni tatizo la mtoa mada,ila najua alienda kununua kiwandani kabisa akayapandisha ndege hadi chuga!!
Ne nigulisa lidelele,malombi kusi lisoko!!
te tuvi bwina na dominika ihambile!!
msalimilahi mdala wako,ila umanya ngati mdala vakumpala sana hasa palihere lyuva!!
Wengine tumezaliwa na hvyo vitu. Mimi niko 30s i own two cars. 1 bmw 5series and a toyota . Do what? Kuna lipi la kuweka instagram nk.
Najiona maskini sana bado kwakweli and am only 30
Wazazi wangu wanauwezo wa kununua hata range rover 2015 ila wanaendesha gari ya kawaida tena klugger . So namshauri aache mashauzi yake zaidi kupublicize wToto wake na hela zake. Sio sawa hata kidogo. Keep it professional bro!!
PM me your addy and I will send you a copy.
Sawa mtoto wa kota.
Hivi nyie mnao wa maindi watoto mayai mlitaka wafanyaje,wakati wazazi washarekebisha, kwani na nyie mkipata hizo pesa mnataka nani alingie hizo pesa kama sio watoto wenu,wote tunatafuta pesa ili kuwanyoshea njia familia zetu,acheni ushamba mfano watoto wa bahresa au mengi wafanyaje sasa, washua washanyoosha mistari waacheni wabembee waacheni walinge, kila mtu alie na mzazi wake kwa wale walioshindwa kunyooshewa ni wivu tu tena wa kike
Upo sahihi kabisa Dada yetu
Thanks ila minikidume mzee pamoja
Jamaa mshamba kinoma halafu anashobo mno na mastar yaan ukiwa star yy ndo anakuona mtu tena wa maana
Mkuu Deo Corleone
Hawa wakuu wawili sio wabeba box,hawa watakuwa wamiliki wa makampuni huko duniani maana wapo njema sana. Mwenzangu na mimi nabeba box Lakini hizo hela wanazo zitamka na matumizi yao kwakweli nashindwa kuelewa hilo box wanalibebea wapi.
Halafu mkuu Kiranga hizo simu ulizo taja awali kuwa unazinunua kama unanunua karanga si zipo za contract T-mobile na wenzake wanakupa kwa mkopo? Hizo hata mbeba box mimi ambaye nipo hoi Naweza kuwa nazo