Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Status
Not open for further replies.
Haaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaa.......unihekisi kweli.lihombi na lihona tu?ukosiwi chikandi na mangatungu.nivinagu but not yamahela ngati ya Albati.kwa vazungu Huku mutukaa chinu lepa.vijova chindu cha Muhimu kuvikaa hela yaku mu bank.za mahengu ku nyumba vya yumwikii?

Ne nigulisa lidelele,malombi kusi lisoko!!

te tuvi bwina na dominika ihambile!!

msalimilahi mdala wako,ila umanya ngati mdala vakumpala sana hasa palihere lyuva!!
 
  • Thanks
Reactions: Mit
Maisha mbwembwe tu..afiche hela poa atumie kwa show off poa
...kuna watu wanadhani kuna kufulia...hayo ni mawazo kuna watu wako sawa toka uhuru mpaka leo mnawasubiri wafulie wapi..na show off zike sana tu
 
hilo ni tatizo la mtoa mada,ila najua alienda kununua kiwandani kabisa akayapandisha ndege hadi chuga!!

Yaani ngozi nyeusii ni shidaa ata Warren Buffet And so many Other white Rich People wont do such Kind of stupidity only stupid Black People
 
,unilekili Ujovi kiki sentensi ya mwisho,nikosiwi cheni chingoni cha mugatimuti.kotakaa venga niligani kweli lidelele.kuni Naha nililonda we nilipatii lepa.ve gonai yati tilongela chilau ne muhi kuninaa.cha bwina ngati mwa wazima!wasalimila valongoo wako.

Ne nigulisa lidelele,malombi kusi lisoko!!

te tuvi bwina na dominika ihambile!!

msalimilahi mdala wako,ila umanya ngati mdala vakumpala sana hasa palihere lyuva!!
 
Wengine tumezaliwa na hvyo vitu. Mimi niko 30s i own two cars. 1 bmw 5series and a toyota . Do what? Kuna lipi la kuweka instagram nk.
Najiona maskini sana bado kwakweli and am only 30
Wazazi wangu wanauwezo wa kununua hata range rover 2015 ila wanaendesha gari ya kawaida tena klugger . So namshauri aache mashauzi yake zaidi kupublicize wToto wake na hela zake. Sio sawa hata kidogo. Keep it professional bro!!

Sawa mtoto wa kota.
 
Sawa mtoto wa kota.

Hivi nyie mnao wa maindi watoto mayai mlitaka wafanyaje,wakati wazazi washarekebisha, kwani na nyie mkipata hizo pesa mnataka nani alingie hizo pesa kama sio watoto wenu,wote tunatafuta pesa ili kuwanyoshea njia familia zetu,acheni ushamba mfano watoto wa bahresa au mengi wafanyaje sasa, washua washanyoosha mistari waacheni wabembee waacheni walinge, kila mtu alie na mzazi wake kwa wale walioshindwa kunyooshewa ni wivu tu tena wa kike
 
Hivi nyie mnao wa maindi watoto mayai mlitaka wafanyaje,wakati wazazi washarekebisha, kwani na nyie mkipata hizo pesa mnataka nani alingie hizo pesa kama sio watoto wenu,wote tunatafuta pesa ili kuwanyoshea njia familia zetu,acheni ushamba mfano watoto wa bahresa au mengi wafanyaje sasa, washua washanyoosha mistari waacheni wabembee waacheni walinge, kila mtu alie na mzazi wake kwa wale walioshindwa kunyooshewa ni wivu tu tena wa kike

Upo sahihi kabisa Dada yetu
 
Ila huyu Albert nampendaga sana....sijui kwa nini.
Huwa silali mpaka nihakikishe nimetembelea ukurasa wake wa IG.
 
Kuna watu wanasema Alberto Msando anapenda kushoboka Mastaa....si kweli. Jamaa kaanza kujuana na Mastaa tangu hajapata Pesa. Back in days miaka hiyo Kimara ana'hang na kina Nigga Jay enzi hizooo..Kingine Alberto pia anahusika na Mafanikio ya kundi la WEUSI kwa kiasi kikubwa.
 
Jamaa mshamba kinoma halafu anashobo mno na mastar yaan ukiwa star yy ndo anakuona mtu tena wa maana

Wewe boya, Msando ni lawyer wa wasanii wengi tu,including weusi, Ay na Fa.
Hivi unajua mchizi kaanda network ya ma rafiki wanaoweza kukutana na kupeana michongo itafanyika mwaka ni?

karibu tujiunge
 
Mkuu Deo Corleone

Hawa wakuu wawili sio wabeba box,hawa watakuwa wamiliki wa makampuni huko duniani maana wapo njema sana. Mwenzangu na mimi nabeba box Lakini hizo hela wanazo zitamka na matumizi yao kwakweli nashindwa kuelewa hilo box wanalibebea wapi.

Halafu mkuu Kiranga hizo simu ulizo taja awali kuwa unazinunua kama unanunua karanga si zipo za contract T-mobile na wenzake wanakupa kwa mkopo? Hizo hata mbeba box mimi ambaye nipo hoi Naweza kuwa nazo

Simu nilizonunua mimi ni zile za international version hazina mkataba na kampuni yoyote Marekani (Unlocked/ International, kuanzia $700 unapata Samsung Galaxy Note 4, sitaki shida ya kumtumia mtu ninayemheshimu zawadi ya simu halafu aanze kuhangaika kushindwa kuitumia kwa sababu imekuwa locked na T-Mobile)

Having said that, hata hiyo mbeba box kuwa nayo si ajabu.Mbeba box wa bongo is another matter.
 
ImageUploadedByJamiiForums1419686023.647263.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom