Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Status
Not open for further replies.
yaah kwa huko Mbele kawaida ila kibongo bongo watu wanatukimbiza hata kwa vitz tu!!

mtu full na vitz hadi carwash wakati unaweza kuosha tu na bakuli home!i

mwana usiwasikilize hao!ni design kama wamepanic kwani hata hao wanaotoka viwanjani wakitua mzizima ni wachache wanacruise na mashine za kustaajabisha!huyo msando japo ana upimbi wake ila katika mandinga jamaa ni chizi magari!...siyo kila mtu aliyopo unyamwezini sio si viilee kama wanavyotaka kutuektia hapa!....nahisi msando zile picha alituma purposely kuwakomesha wabeba box viwanjani
 
Ushachukua ile Macan?

Hahaha, you got my file like a Chekist.

Now, at least if this fella was pushing a Macan I would have respected the sheer taste.

I got something nice for Miss Thang instead, early graduation present / seasonal present for her doctoral program. Maybe next year, maybe not. I am mulling over the whole debate about a midlife crisis and that being an overextension of a small prick. I ain't about that.

Why did they have to make the Macan smaller than the Cheyenne? That just messes me up.
 
huo ni utajiri au 'middle class'?
mi naona ni upper middle class'

nyumba ya aina hiyo watu wengi middle class wanazo

magari hayo used bei ya kawaida
unless awe anaaigiza new kabisa...

Huyo tushamzoea gari nyingi hazina document istoshe nyumba nayo hana title
 
The folly of this flirtatious flossing is flatfooted by the fraudulent facade of freewheeling fortune on a finagled fame.

what makes u think that his folly of floosing is flatfooted by the fraudulent facade of freewheeling fortune on a finagled fame?

King'asti
 
Last edited by a moderator:

ndo walewale!umepanic bro!relax! mwana hajatest ili auzie sura vile vipando anavimiliki
 

Sio kila mtu anahusudisha magari.

Kuna machizi wananunua vigarigari hivi na kuwaachia baby mamas tu wao wanadeal na mambo makubwa kama real estate.

Ni huko bongo tu ambako watu hawana elimu ya kutofautisha what is an asset and what is a liability ndo mnashangaa magari.

Nakumbuka back in the early 1990s nilikuwa napitia library ya mshua, nikaona kitabu cha business advise cha Harvey Mackay, kinaiitwa "Swim With The Sharks Without Being Eaten Alive".

One of the nuggets in it was "Buy cheap cars and expensive houses".

Not too many of us had the advantage of even knowing who Harvey Mackay is, certainly not at that age.

Leo ukiona fulani ana gari la bei mbaya kama ujiko nakushangaa utalimbuka mpaka lini?




CC Nyani Ngabu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…