Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Nimepaniki kitu gani wewe? Usilazimishe mambo.
kujua siyo kumiliki!
ile A hook up sio yake naona anaipromote sana?
halafu ule u wakili sio asset? Si ana kampuni yake Alberto Msando Attorney?
mwana usiogope majina!hiyo hook up umewahi kuiona au jina limekutisha?ni kigrocery tu kipo kwenye barabara ya vumbi ila kwa kuwa arusha kuna uhaba wa viwanja vya kujirusha ndo wanaikikisha!ile hook up haigusi hata kwa twitter kinondoni manyanya

Haina bati la msauzi!
Lol!
what makes u think that his folly of floosing is flatfooted by the fraudulent facade of freewheeling fortune on a finagled fame?
King'asti
nimepotea njia nini?jamaani
ah angepost vitz au oppa ,wangesema ah bora hata angepost range au Benz!!
kapost hayo, wanasema angepost Bentley sijui macah huko!!
siku akipost hayo,watasema bora sijui nini huko!!
vamlekai advocate witu!!
Mwaka huu mtajipanga hehehe. Nacheka kama mazuri. Chezeiya kuwa inspayadi?
Na jina la mtaa halijulikani kama kwa yahya
Mi staki uchokozi wako. Huko huko. Nenda gugo transileita
Eeeena vamlekai tu!
Yenyeee magaaali haya kuperamiho kule hata Buruda Yukundusi hayajui!
Pepayiii weeeenga!
Vamlekaai tu!
jova veve!! ne kusi hata ka Boda Boda!! !!