msando simkubali kihivyo ila baada ya kupitia huu uzi nimegundua kawakomesha wengi hadi humu ndani...watu wamepanic!
Ama?.....
kuna mtu alinambia ukichati na demu ,inawezekana ukachati na mashosti zake via screenshot!!
yaani full kuuzishana mafaili ndo maana mikuyati INA soko sana hapa Tanganyika!!
Upogu?
Hakyamungu odo umeshindikana...
Haaaa
Ninekununia. Hivi ni umetuletea ke ama me?
Ama?.....
Ninekununia. Hivi ni umetuletea ke ama me?
Hata baby shower hukualikwa..
Pole
jamaa ana Benz 3
Range Rover _2
1_BMW
2_Toyota
1_pigeout
na motorbike 3 na ana 35 yrs tu.
sasa Wewe mchukie tu mtu aliyekuzidi kila kitu na wala hakujui!!
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=get]#get [/URL] angry or [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=get]#get [/URL] inspired!!
mimi nimeamua kuwa inspired!!
analazimisha ukali wakati hafananii
Wadada siku hizi pamoja na churuga wanataka shughuli kama hujui..wanakutangaza hatariiii.
Watu wanakuchora tu unavyowapaka shombo..
The guy is rich enough to show us what's he own.no comment
Hahahahahahahahaha
Kwa post ya amu wallahi Albert atatamani kuweka video ya shughuli zake!
Kutetea utajiri wake na pande hizo
Aseee amemuua vibaaaaaya!
Dah!
Kama namuona na vile vizibao vyake!
View attachment 211992 "here. go get yo broke ass a seat"
Bongo hivi hiyo mi Range ikikongoroka washapata sehemu ya kutengenezea hapo?
Nakumbuka back in the nineties Range likiharibika vifaa mpaka Nairobi.