Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Mjini wanaume ni wale wale halafu wanaume wa chugga washamba sana wakija dar kila mwanamke wanataka kumfunua.
Ila siyo mimi ni hafsa na shamsa ndo waliniambia...wakarudi na ukame wao..
Siku hizi unakuta Sport inanguruma kama kombi..... nani ana ubavu kupeleka Nairobi?
haki ya mama yangu naandika talaka sasa hivi!!!
:banghead::banghead::banghead:
Mjini wanaume ni wale wale halafu wanaume wa chugga washamba sana wakija dar kila mwanamke wanataka kumfunua.
Ila siyo mimi ni hafsa na shamsa ndo waliniambia...wakarudi na ukame wao..
Niliona mapicha mapicha kuna siku TID alikua ana paform!!
Hookup ni pub y kawaida sana istoshe pale kapanga,uwakili alikua juu sana kipindi flani bt cjui michezo imekua mingi wateja wamekacha.hivi mtu unajaza magari huna asset halafu unadai ana hela huoni hpo iko shida
Nimeyatamani maisha ya Msando.. Haya si ya anasa tena kwa ulimwengu wa sasa wa TEHAMA.. Ni basic need kuwa na reasonable and objective domicile, cars, misosi mizuri mezani, watoto shule bora, wife stress free zone e.t.c #GetAngry #Getinspired ... Nina hasira na nimewiwa na hii gape... One day YES
Tangu enzi zile mpaka leo Range zinatengenezwa Nairobi bado?
You gotta be kidding me.
Mie naenjoy life yangu baba. Siwezi kuwa inspired na mtu hana hata apartments za maana. Kuna mchaga mmoja ananiinspaya balaa manake ana nyumba kama 7 za kupanga zenye akili. Ana ghorofa moja pia ina apartments 6.
One nice toy or two zinanitosha kwa mobility tu.
Akhu ,muulize amu hayo maswali
Nouveau riche.
Old money doesn't floss.
Would u agree old money had once been new?
Alipata chaka la IPTL lakini.........
Hamna chaka lolote mtu anaweza piga picha n hela z client wke alikua vizuri hpo nyuma bt nw wateja wamesepa shauri y magumashi n cross nyingi
Tangu enzi zile mpaka leo Range zinatengenezwa Nairobi bado?
You gotta be kidding me.
kuna CMC kaka zaidi ya hio kuna garage standard nyingi tu wanatengeneza hayo magari...hatuko nyuma kiasi hicho.... anaesumbuliwa na gari yoyote hata Bentley awasiliane na mimi.
That is beside the point.
Really?