Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Status
Not open for further replies.
Hahahaha huyu albert msando anajibizana na mtoto wa kishua Iddi Mahita...huyu albert msando akubali tu kuzipata hizo hela alizonazo amehangaika kama amefanya dili chafu mimi sielewi inabidi ajue anachofanya huyo iddi mahita ndo atakachokuja kukifanya huyo mtoto wake miaka 15 ijayo plus mimi sielewi kama msando ni wakishua au vipi ila ninachojua kama baba yake msando angekua na mihela kama ya akina Iddi kwa asilimia kubwa angefanya hivyo hivyo anavyofanya iddi....mtu unafeli form 4 unapelekwa marekani kukaaa daaah aiseee...jamaaa kama ni 2005 au 2006 kuna mtu anaitwa salaah yule sijui honorary diplomat alimuuziaga Mazda MX-5 covertible two seater jamaa alikua pimpin way back Iddi wakishua hela za baba yake na anajua kujidai nazo hahahahahahahaha boya boya stay back....
 
Tanzania level ya mtu kuitwa 'tajiri' inategemea kiwango cha umaskini cha walio mzunguka
go figure

The Boss hivi katika shughuli zako za kipato umeshawahi kuingiza million 900 pa? au unauwezo wa kula bata million 40 once mpaka inaishia?
Jamaa shughuli zake za kisheria zinamuingizia hela ndefu ndefu nyingi aiseee, hela anazoingiza siyo za kuzibeza hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
huo ni utajiri au 'middle class'?
mi naona ni upper middle class'

nyumba ya aina hiyo watu wengi middle class wanazo

magari hayo used bei ya kawaida
unless awe anaaigiza new kabisa...

Watu wa middle class ndiyo wapi mkuu?
Hiyo nyumba kanunua dola laki 3 , kwa mtazamo wangu watu middle class kibongo bongo hawezi kuwa nazo.
 
Hahahaha huyu albert msando anajibizana na mtoto wa kishua Iddi Mahita...huyu albert msando akubali tu kuzipata hizo hela alizonazo amehangaika kama amefanya dili chafu mimi sielewi inabidi ajue anachofanya huyo iddi mahita ndo atakachokuja kukifanya huyo mtoto wake miaka 15 ijayo plus mimi sielewi kama msando ni wakishua au vipi ila ninachojua kama baba yake msando angekua na mihela kama ya akina Iddi kwa asilimia kubwa angefanya hivyo hivyo anavyofanya iddi....mtu unafeli form 4 unapelekwa marekani kukaaa daaah aiseee...jamaaa kama ni 2005 au 2006 kuna mtu anaitwa salaah yule sijui honorary diplomat alimuuziaga Mazda MX-5 covertible two seater jamaa alikua pimpin way back Iddi wakishua hela za baba yake na anajua kujidai nazo hahahahahahahaha boya boya stay back....

hapa 'kama' unazungumzia hela chafu namuona mwenye hela chafu likely ni huyo mwingine kwasababu kazi yake halali kamwe haiwezi kumpa utajiri!!!
 
The Boss hivi katika shughuli zako za kipato umeshawahi kuingiza million 900 pa? au unauwezo wa kula bata million 40 once mpaka inaishia?
Jamaa shughuli zake za kisheria zinamuingizia hela ndefu ndefu nyingi aiseee, hela anazoingiza siyo za kuzibeza hata kidogo.

Ha ha The Boss sijui kama keshawahi kuhonga hata second hand ya duet..
 
Last edited by a moderator:
Ha ha The Boss sijui kama keshawahi kuhonga hata second hand ya duet..
Dah! Kiukweli jamaa hizo shughuli zake zinamuingizia hela sana halafu anajua kutumia.
Anaweza akaamua tu kuchukua million zake 30 akaenda Zanzibar akala bata na totoz wiki moja.
 
Mbona kajumba ka kawaida sana, labda kama kapo maeneo ya city center (posta) ambako ardhi inathaman ya hera za escrow. Sioni na sihusudu utajiri wa magari
 
Tena atupishe Amu asitake tukaweka screenshots zake umu..shughuli yenyewe hawezi, anahonga tu ili kufunika udhaifu..mkewe maskini hayo magari hata raha nayo hana..ushauri tu kula kidogo basi tupate hata pa kukushika..

Dah! Mwanaume lazima upige pumbu aiseeeh, bila hivyo naona tu ni dharau.
 
The Boss hivi katika shughuli zako za kipato umeshawahi kuingiza million 900 pa? au unauwezo wa kula bata million 40 once mpaka inaishia?
Jamaa shughuli zake za kisheria zinamuingizia hela ndefu ndefu nyingi aiseee, hela anazoingiza siyo za kuzibeza hata kidogo.

Ki ukweli anaingiza pesa ndefu kibongo bongo
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa hana connection na advocate Mwale? A take care sana advocate Mwale ananyea debe kwa ajili ya pesa chafu, Wote wa Arusha hawa
 
Mi pia ana ni inspire sana tu katoka mbali kwao mabogin enzi hizo ndio kaja arusha kuanza maisha kwa advocate mawala he ws very innocent.tangu azishike duh..
ila jamaa ana ulimbukeni flani wa hela na wanawake ndio unaonitoa povu apa

Huo uinnocent unaouzungumzia ni UPI?
Huyo jamaa namfahamu tumesoma naye sekondari, alikuwa muhuni tu toka kipindi hicho.
Alipopata hela ndiyo uhuni ukaongezeka vizuri.
 
Wengine tumezaliwa na hvyo vitu. Mimi niko 30s i own two cars. 1 bmw 5series and a toyota . Do what? Kuna lipi la kuweka instagram nk.
Najiona maskini sana bado kwakweli and am only 30
Wazazi wangu wanauwezo wa kununua hata range rover 2015 ila wanaendesha gari ya kawaida tena klugger . So namshauri aache mashauzi yake zaidi kupublicize wToto wake na hela zake. Sio sawa hata kidogo. Keep it professional bro!!

na tofauti yako na yeye hapa ni ipi labda? au kwa ajili yeye ameweka picha? au sababu yeye kaonyesha mengi yake na wewe unaongelea uwezo wa wazazi??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom