Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Hahahaha huyu albert msando anajibizana na mtoto wa kishua Iddi Mahita...huyu albert msando akubali tu kuzipata hizo hela alizonazo amehangaika kama amefanya dili chafu mimi sielewi inabidi ajue anachofanya huyo iddi mahita ndo atakachokuja kukifanya huyo mtoto wake miaka 15 ijayo plus mimi sielewi kama msando ni wakishua au vipi ila ninachojua kama baba yake msando angekua na mihela kama ya akina Iddi kwa asilimia kubwa angefanya hivyo hivyo anavyofanya iddi....mtu unafeli form 4 unapelekwa marekani kukaaa daaah aiseee...jamaaa kama ni 2005 au 2006 kuna mtu anaitwa salaah yule sijui honorary diplomat alimuuziaga Mazda MX-5 covertible two seater jamaa alikua pimpin way back Iddi wakishua hela za baba yake na anajua kujidai nazo hahahahahahahaha boya boya stay back....