Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
vikuukuuu?
u either get angry o get inspired
ukimaliza kubeba box ukalale maana naona bado unaota(no disrespect)
Bitch https://jamii.app/JFUserGuide you.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vikuukuuu?
u either get angry o get inspired
ukimaliza kubeba box ukalale maana naona bado unaota(no disrespect)
😕 we jamaa wewe basi tu.
Ila nakukubali sana
Mkuuu Albert uko juu,sijui kwa nini hii mada imeelekezwa kuwaponda wanadiaspora?ina maana nyie mliopo bongo hamuwi inspired na mafanikio ya Albert????...au ham get angry????....mnashangaza!in Faiza Foxy s'voice

Hapo ndio ushakaa miaka 30 America au Ulaya km Le Mutuz then unafikia kwenye store za Down Town unakuta Kijana ulimuacha Bongo unamkuta ana Push ndinga za hatar km hizo lazma JOTO HASIRA tu
Maisha hayo ni ya kawaida tu mbona. Na je mnachukia nn mtu akipost vya baba ake??? Ndio tatizo la kuzaliwa na wababa wamaskini hilo... Mtu unakuwa na wivu wa kike kuchukia mababa wa wenzako... Maisha hayo ya msondo ni ya kawaida sana kwa watanzania wengi walioenda shule na wakaajiriwa tu sehemu za kawaida
mkuu, jamaa yuko vizuri lakini unakuza sana....sasa ndinga ya hatari ipi hapo?? mbona gari zote kasoro moja ni over 9 yrs old???
inanishangaza sana humu watu wengi wanajidai wana mishahara mikubwa na maisha ya juu, lakini wanawaka na vitu vya huyo jamaa ambavyo si vya ajabu
Hawana exposure, wamebakia majungu na kurogana tu.
Siku hizi diaspora wana import uchawi na waganga wa kienyeji mpaka Europe (mostly UK), US, Canada na Middle and near East. Sijuwi Australia?
Be careful!
Miafrika Ndivyo Tulivyo - Nyani Ngabu
Umenikumbusha uzi wa Mike Mushi,member ana uhakika member mwezie ni mchawi na ushahidi anao!
Kweli tuwe careful!
Cc-@Ruttashobolwa
Kuna watu hawaamini kama unaweza tusua hapa hapa bongo bila kwenda Mbele!!
So wakiona watu wa mavumbini wakitusua basi roho za wauma!!
karne hii kuna watu wa aina hii??? tena wako huko MBELE??!!