Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Status
Not open for further replies.
Hapo ndio ushakaa miaka 30 America au Ulaya km Le Mutuz then unafikia kwenye store za Down Town unakuta Kijana ulimuacha Bongo unamkuta ana Push ndinga za hatar km hizo lazma JOTO HASIRA tu
 
Mkuuu Albert uko juu,sijui kwa nini hii mada imeelekezwa kuwaponda wanadiaspora?ina maana nyie mliopo bongo hamuwi inspired na mafanikio ya Albert????...au ham get angry????....mnashangaza!in Faiza Foxy s'voice
 
Nimejikuta nacheka ulipomalizia in FaizaFoxy voice!! Huyu ni dada wa shoka namkubali sana
 
Last edited by a moderator:
Mkuuu Albert uko juu,sijui kwa nini hii mada imeelekezwa kuwaponda wanadiaspora?ina maana nyie mliopo bongo hamuwi inspired na mafanikio ya Albert????...au ham get angry????....mnashangaza!in Faiza Foxy s'voice

Hawana exposure, wamebakia majungu na kurogana tu.

Siku hizi diaspora wana import uchawi na waganga wa kienyeji mpaka Europe (mostly UK), US, Canada na Middle and near East. Sijuwi Australia?

Be careful!

Miafrika Ndivyo Tulivyo - Nyani Ngabu
 
Maisha hayo ni ya kawaida tu mbona. Na je mnachukia nn mtu akipost vya baba ake??? Ndio tatizo la kuzaliwa na wababa wamaskini hilo... Mtu unakuwa na wivu wa kike kuchukia mababa wa wenzako... Maisha hayo ya msondo ni ya kawaida sana kwa watanzania wengi walioenda shule na wakaajiriwa tu sehemu za kawaida
 
Hapo ndio ushakaa miaka 30 America au Ulaya km Le Mutuz then unafikia kwenye store za Down Town unakuta Kijana ulimuacha Bongo unamkuta ana Push ndinga za hatar km hizo lazma JOTO HASIRA tu

mkuu, jamaa yuko vizuri lakini unakuza sana....sasa ndinga ya hatari ipi hapo?? mbona gari zote kasoro moja ni over 9 yrs old???
 
Maisha hayo ni ya kawaida tu mbona. Na je mnachukia nn mtu akipost vya baba ake??? Ndio tatizo la kuzaliwa na wababa wamaskini hilo... Mtu unakuwa na wivu wa kike kuchukia mababa wa wenzako... Maisha hayo ya msondo ni ya kawaida sana kwa watanzania wengi walioenda shule na wakaajiriwa tu sehemu za kawaida

inanishangaza sana humu watu wengi wanajidai wana mishahara mikubwa na maisha ya juu, lakini wanawaka na vitu vya huyo jamaa ambavyo si vya ajabu
 
Hawana exposure, wamebakia majungu na kurogana tu.

Siku hizi diaspora wana import uchawi na waganga wa kienyeji mpaka Europe (mostly UK), US, Canada na Middle and near East. Sijuwi Australia?

Be careful!

Miafrika Ndivyo Tulivyo - Nyani Ngabu

Umenikumbusha uzi wa Mike Mushi,member ana uhakika member mwezie ni mchawi na ushahidi anao!

Kweli tuwe careful!

Cc-@Ruttashobolwa
 
Hebu nitafutie link niusome, Mike Mushi si ni mmoja wa waanzilishi wa JF?

Interesting - The Boss
 
Last edited by a moderator:
Mkuuu Albert uko juu,sijui kwa nini hii mada imeelekezwa kuwaponda wanadiaspora?ina maana nyie mliopo bongo hamuwi inspired na mafanikio ya Albert????...au ham get angry????....mnashangaza!in Faiza Foxy s'voice

hiyo FaizaFoxy voice we umeisikia wapi na mie nikasikie?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom