sio mama yake huyo ni mama yake wa kambo mama wa samatta alishafariki #apumzikekwaamaniIla jamani dress code ya mama Samatta leo?Mhhhhh sijui wambea wenzangu mnasemaje!
cc Ms.Lincoln Evelyn Salt charty Madame B brenda18 warumi Lyne
mama wa kambo huyoMama samata hapo kaboa kinoma yaani.
Asante,asante sana!!!!Wanawake wa kitanzania sijui huwa mkoje!! Siyo mama Kanumba, mama Diamond mama Hasheem Thabiti!! Khaa yan mwanao akipata jina tu majanga!! Emb ona huyo mama alivyovaa Kiswahili! Limiwani lote hilo na uzee huo ni aibu!!!
Hawa ndo wanaongozana na wanao kwenda club kutengeneza skendo za kwenye magazeti na upashukuna mwingii!! Wanahamia kwa watoto wao na kuwaacha wazee wakisota kwenye vibanda na kwenda kuwa waamuzi wa mambo!! Hovyo kabisa!!
Dah hata kuwaweka pale kwenye ngazi ni huruma tu!! Huyu mama alistaili kuwekwa nje ya eneo la uwanja kabisa!!
Masikini,imeniuma sana.sio mama yake huyo ni mama yake wa kambo mama wa samatta alishafariki #apumzikekwaamani
Si kwa pozi hilo la uwanjani...nimecheka sana!Ila jamani dress code ya mama Samatta leo?Mhhhhh sijui wambea wenzangu mnasemaje!
cc Ms.Lincoln Evelyn Salt charty Madame B brenda18 warumi Lyne
Huyo mama hana akili nzuri,imagine BBC wangekuwa uwanjani (sijui walikuwepo?) halafu mama wa mchezaji bora wa Afrika kavaa hivyo!Si kwa pozi hilo la uwanjani...nimecheka sana!
kitu cha sun glasses usiku kilihusika..hahah!Huyo mama hana akili nzuri,imagine BBC wangekuwa uwanjani (sijui walikuwepo?) halafu mama wa mchezaji bora wa Afrika kavaa hivyo!
Hajielewi.....
Ila kwa mujibu wa wadau sio mama yake mzazi nayo pia sio sababu ya kuvaa hovyo.
Hahahahahaaaaakitu cha sun glasses usiku kilihusika..hahah!
Baba na mama Sama goal wakimsbiri mtoto wao kwenye ngazi za uwanja wa ndege akitokea Nigeria alikoshinda tuzo ya wanasoka wa ndani Afrika
View attachment 315772