Celebrity wa Afrika Akisubiriwa Kwenye Ngazi za Uwanjani

Celebrity wa Afrika Akisubiriwa Kwenye Ngazi za Uwanjani

Wanawake wa kitanzania sijui huwa mkoje!! Siyo mama Kanumba, mama Diamond mama Hasheem Thabiti!! Khaa yan mwanao akipata jina tu majanga!! Emb ona huyo mama alivyovaa Kiswahili! Limiwani lote hilo na uzee huo ni aibu!!!

Hawa ndo wanaongozana na wanao kwenda club kutengeneza skendo za kwenye magazeti na upashukuna mwingii!! Wanahamia kwa watoto wao na kuwaacha wazee wakisota kwenye vibanda na kwenda kuwa waamuzi wa mambo!! Hovyo kabisa!!

Dah hata kuwaweka pale kwenye ngazi ni huruma tu!! Huyu mama alistaili kuwekwa nje ya eneo la uwanja kabisa!!
Asante,asante sana!!!!
 
Wabongo siwaelewi hata kidogo mnakaa kuijadili TFF, Samata hatoki kanda ya ziwa samata hajawai kucheza dar young African sasa unategemea nn TFF ipo kwa ajili ya watu wachache sio taifa kwa ujumla kubalini au kataeni huo ndio ukweli
 
Si kwa pozi hilo la uwanjani...nimecheka sana!
Huyo mama hana akili nzuri,imagine BBC wangekuwa uwanjani (sijui walikuwepo?) halafu mama wa mchezaji bora wa Afrika kavaa hivyo!
Hajielewi.....
Ila kwa mujibu wa wadau sio mama yake mzazi nayo pia sio sababu ya kuvaa hovyo.
 
WASUBIRIE SURPRISE TUU...

SAMATTA ATACHUKUA URAIA WA BELGIUM WABAKI WANASIKITIKA NA KULALAMIKA...KWA MAPOKEZI HAYO YA WAZAZI WANGU MIMI KAMA SAMATTA LAZIMA NIPIGE MPIRA MWINGI SANA KISHA NIHAME NA WAZAZI WANGU NIWAACHIE UJINGA NA DHARAU ZAO HAPO TANZANIA.
 
Huyo mama hana akili nzuri,imagine BBC wangekuwa uwanjani (sijui walikuwepo?) halafu mama wa mchezaji bora wa Afrika kavaa hivyo!
Hajielewi.....
Ila kwa mujibu wa wadau sio mama yake mzazi nayo pia sio sababu ya kuvaa hovyo.
kitu cha sun glasses usiku kilihusika..hahah!
 
Back
Top Bottom