Celine Dion, Mariah Carey, Whitney Houston, Toni Braxton, Brandy na Jennifer Lopez

Celine Dion, Mariah Carey, Whitney Houston, Toni Braxton, Brandy na Jennifer Lopez

Whitney Houston-

"I will always love you". "

I wanna dance with somebody".

" Where do broken hearts go"

" I have nothing"
 
Whitney Houston-

"I will always love you". "

I wanna dance with somebody".

" Where do broken hearts go"

" I have nothing"
Whitney atabaki kuwa bora kwa wakati wote,kuanzia sauti yake, tungo na Nilikuwa napenda sana appearance yake awapo kwenye jukwaa.
 
Celine Dion habari nyingine, geto nilikuwa na bonge LA radio na CD zangu za ngoma kalikali demi akija kukutembelea unamuwekea hizo ngoma anasikiliza mpk analegea hutumi nguvu kushawishi.. Hiyo ulikuwa mwanzoni mwa miaka ya 2000
ulikuwa unasikiliza zilizopendwa ngoma za zamani saana za 80s - mid 90s na chahe saana za za 2000's
 
He wasn't man Enough me.Hii nayo ilinikosha
Ngoma ya Tony Baxton alikuwa anamchaamba demu aliyemuibia bwana, aa yeye Toni hakumtaka huya jamaa, 😀😀😀😀namwambia kwamba habaadae akaja na ngoma inaitwa HIT THE FREE WAY
 
Sawa sisi wa 2000s ngoja tusome kimya kimya bila kukoment wala kulaik chochote👣👣
 
Mimi mpaka leo namkubali Celin Dion.

Nakumbuka mwaka 2003 nikiwa form 1 kuna mtoto wa mchungaji moja sasa ni Doctor hospitali fulani mwanza aliniwekea nyimbo za Celin Dion aiseee toka siku hiyo mpaka leo nina nyimbo nyingi za Celin. Huyu dada namkubali adi kufa.

Umenifanya nisikilize huu hapa.; I love you by Celin naamini asubuhi yangu itakuwa pouwa kabisa.
 
Hawa watu walitingisha sana enzi zao.
Kati ya hawa mastar waliochuana sana enzi zao, wewe unamkubali nani zaidi weka vigezo

1. Number of awards Won, eg Oscra, BET, Grammy Etc
2. Ngoma zilizoshika namba 1 Billboard
3. Mauzo ya Albamu
4. Number ya Viewers ya nyimbo zake on Youtube
5, Na vigezo vingine ila achana na utajiri wake

Taja ngoma au album unayoikubali na utoe vigezo vya kuichangua hiyo ngoma au album. Nimetaja hawa wakongwe kwa sababu enzI zao hatukuwa na wakina Destiny's Child and the like. Walikuwepo kama wakina Gloria Estafany, Sade, Lauryn Hill na wengine wengi ila twende na hawa kwanza.

Wale wahenga karibu, nyie vizazi vya 97+ tupisheni kidogo.
Mjomba unajiita mhenga kwa ngona za kina Jeniffer Lopez? So sad....
Legends talk about Mtume, James Ingram, surface, Tong&Chic, Cool &The Gang, Ju shoes etc... kwa kifupi talk about 80's ukizidi sana 90's, 2000's kwa mbali sn ndo ukutane na kina Jeniffer Lopez, Mariah carey etc...!!
 
Utamu wa mziki upo kwenye sikio la msikilizaji.

Kwa upande wangu Whitney Houston na Keysha Cole ndio nawakubali miaka yote.
 
Utamu wa mziki upo kwenye sikio la msikilizaji.

Kwa upande wangu Whitney Houston na Keysha Cole ndio nawakubali miaka yote.
Umewahi kumsikia K.Cole akiimba live, hahahaa mule hamna kitu mzee too much electronic backup kama kina t-pain na taio cruise
 
Mimi mpaka leo namkubali Celin Dion.

Nakumbuka mwaka 2003 nikiwa form 1 kuna mtoto wa mchungaji moja sasa ni Doctor hospitali fulani mwanza aliniwekea nyimbo za Celin Dion aiseee toka siku hiyo mpaka leo nina nyimbo nyingi za Celin. Huyu dada namkubali adi kufa.

Umenifanya nisikilize huu hapa.; I love you by Celin naamini asubuhi yangu itakuwa pouwa kabisa.
Yupo poa sana na ana sauti ya kumtoa Alvin Chumbani 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom