Celine Dion, Mariah Carey, Whitney Houston, Toni Braxton, Brandy na Jennifer Lopez

Celine Dion, Mariah Carey, Whitney Houston, Toni Braxton, Brandy na Jennifer Lopez

Mjomba unajiita mhenga kwa ngona za kina Jeniffer Lopez? So sad....
Legends talk about Mtume, James Ingram, surface, Tong&Chic, Cool &The Gang, Ju shoes etc... kwa kifupi talk about 80's ukizidi sana 90's, 2000's kwa mbali sn ndo ukutane na kina Jeniffer Lopez, Mariah carey etc...!!
Mkuu kaa kwenye mada ningetaka kukujuza kuhusu wahenga ningekuja na ngoma za akina Doll Patron and the like but for tha sake of this post changia hao watu watano
 
[emoji23][emoji23][emoji23] we ni jinsia gani?? Maana izi track za mbele ziliteka watu kiboya sana.nakumbuka kuna mbavu moja pale kawe ilipigwa am a single lady ya beyonce ilianza kudance kinomanoma
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
90's would forever be Mariah Carey Era... Chezea kushikana number one billboard every year (within 90's)
 
CELINE DION awe Top in the list.
wenzake waliokuwa wanafanya mziki unaofanana
Shania Twain-
west life
boys 2 men
michael bolton
n.k
hawa akina brandy,mariah carey,j.lo ,ton braxton,mziki wao ulikuwa ni tofauti kidogo au walikuwa wanachanganya na RNB.
 
Celine Dion habari nyingine, geto nilikuwa na bonge LA radio na CD zangu za ngoma kalikali demi akija kukutembelea unamuwekea hizo ngoma anasikiliza mpk analegea hutumi nguvu kushawishi.. Hiyo ulikuwa mwanzoni mwa miaka ya 2000
Kumbe madomo zege mpo nchini toka kitambo.
 
Hawa watu walitingisha sana enzi zao.
Kati ya hawa mastar waliochuana sana enzi zao, wewe unamkubali nani zaidi weka vigezo

1. Number of awards Won, eg Oscra, BET, Grammy Etc
2. Ngoma zilizoshika namba 1 Billboard
3. Mauzo ya Albamu
4. Number ya Viewers ya nyimbo zake on Youtube
5, Na vigezo vingine ila achana na utajiri wake

Taja ngoma au album unayoikubali na utoe vigezo vya kuichangua hiyo ngoma au album. Nimetaja hawa wakongwe kwa sababu enzI zao hatukuwa na wakina Destiny's Child and the like. Walikuwepo kama wakina Gloria Estafany, Sade, Lauryn Hill na wengine wengi ila twende na hawa kwanza.














Wale wahenga karibu, nyie vizazi vya 97+ tupisheni kidogo.

ulianza vizuri ila hapo kwa right here ya brand sijui ulivurugwa na nini
 
Mjomba unajiita mhenga kwa ngona za kina Jeniffer Lopez? So sad....
Legends talk about Mtume, James Ingram, surface, Tong&Chic, Cool &The Gang, Ju shoes etc... kwa kifupi talk about 80's ukizidi sana 90's, 2000's kwa mbali sn ndo ukutane na kina Jeniffer Lopez, Mariah carey etc...!!
Always James Ingram hainiishagi ladha
 
Back
Top Bottom