Celine Dion, Mariah Carey, Whitney Houston, Toni Braxton, Brandy na Jennifer Lopez

Mkuu kaa kwenye mada ningetaka kukujuza kuhusu wahenga ningekuja na ngoma za akina Doll Patron and the like but for tha sake of this post changia hao watu watano
 
[emoji23][emoji23][emoji23] we ni jinsia gani?? Maana izi track za mbele ziliteka watu kiboya sana.nakumbuka kuna mbavu moja pale kawe ilipigwa am a single lady ya beyonce ilianza kudance kinomanoma
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
90's would forever be Mariah Carey Era... Chezea kushikana number one billboard every year (within 90's)
 
CELINE DION awe Top in the list.
wenzake waliokuwa wanafanya mziki unaofanana
Shania Twain-
west life
boys 2 men
michael bolton
n.k
hawa akina brandy,mariah carey,j.lo ,ton braxton,mziki wao ulikuwa ni tofauti kidogo au walikuwa wanachanganya na RNB.
 
Celine Dion habari nyingine, geto nilikuwa na bonge LA radio na CD zangu za ngoma kalikali demi akija kukutembelea unamuwekea hizo ngoma anasikiliza mpk analegea hutumi nguvu kushawishi.. Hiyo ulikuwa mwanzoni mwa miaka ya 2000
Kumbe madomo zege mpo nchini toka kitambo.
 
ulianza vizuri ila hapo kwa right here ya brand sijui ulivurugwa na nini
 
Always James Ingram hainiishagi ladha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…