Celine Dion msanii wa kike mwenye rekodi kubwa duniani

Storm shadow

Senior Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
167
Reaction score
132
Wakuu natumaini mu wazima kabisa nimeisogeza kwenu kwa kifupi historia ya mwanamziki Celine Dion.

Celine Marie Claudette Dion alizaliwa March 30 1968 huko Quebec Canada alianza kupata umaarufu mwaka 1982 katika tamasha la Yamaha world song festival pamoja na Eurovision song contest mwaka 1988 baada ya kujifunza kiingereza akasainiwa epic record kwakuwa alikuwa akizungumza kifaransa pekee akaachia album take ya"unison"


Miaka ya 1990 ndipo alianza kupata umaarufu duniani kupitia album zake kama "falling into you"mwakaa 1996 " let's talk about love "ya mwaka 1997 ambazo zilikuwa certified diamond (RIAA) ndani ya marekani zikiwa na hit songs kama Vila" power of love "," think twice "," because you love me","it's all coming back to me ".pia wakati album hiyo ikifanya vizuri aliachia album alizoimba kwa lugha ya kifaransa "s'ill suffisailt d'aimer mwaka 1998," sans attrendre 2012 .ambazo zilikuwa certified diamond ndani ya ufaransa

Miaka ya 2000 alitajwa kuwa msanii anaeperfom live na mwenye mafanikio makubwa alipo perform nyimbo kama vile "a new day has come", am alive" nazingine nyingi alipokuwa katika tamasha la las Vegas strip la 2003-2007 na kuweka record ya tamasha lililouza zaidi .na pia katika tour ya taking chances world tour ambayo ni tour yenye record ya mauzo makubwa duniani.



Amechukua tuzo nyingi zikiwemo tano ndani ya album zake hizo zikiwemo za album bora .billboard ilimpa heshima na kumuita "queen of adult contemporary." ni mwana mziki wa kike wa pili duniani mwenye record ya mauzo makubwa .alipewa tuzo ya heshima na international federation of phonograph industries (IFPI) kama mwanamziki aliyeuza zaidi ya copies millioni 50 ndani ya ulaya pekee

By Celine Dion fan
 
Hakuna na hatotokea kama Whitney Huston kwa wanamziki wa kike duniani case closed.
 
Hakuna na hatotokea kama Whitney Huston kwa wanamziki wa kike duniani case closed.
ni kwa sababu wamarekani na jamii nyengine za wazungu ndio wenye ushawishi na nguvu kubwa sana kwenye huu ulimwengu tunaoishi ndio maana tunalazimika kuaminishwa hivyo ya kwamba whitney, celine na mariah carey ndio waimbaji bora wa kike kuwahi kutokea kwenye huu ulimwengu.
 
hajawahi kuniangusha huyu mbibi aisee. ni pini juu ya pini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…