Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,931
[emoji23][emoji23][emoji23].. km kasema 50 yule mwehu mtu wa utani sana.Kwani hujaona kina 50 cent wanasema brown kashampita MJ??[emoji23]
Ila mj na brown.dah
Mj bi zaidi ya kipaji,jamaa studio mpk ma producer walikua wanaona raha kufanya nae kazi,unalipwa parefu ila nusu kazi anafanya mwenywe.
Gretaest entertainer of all time MJ