Celine Dion msanii wa kike mwenye rekodi kubwa duniani

Hivi kuna msanii wa kike wa kumzidi Whitney Houston???
 
it's all coming back to me ".

Hii nyimbo huyu mwanamama aliimba aisee acheni mchezo.
Duh hili song huwa linanifariji sana kipindi ambacho nahisi napitia kwenye magumu. Jinsi anavyoimba huwa naona kama mlima mbele yangu alafu naupanda huo mlima huku nikiwa nimechoka sana huku machozi yakinitoka najasho jingi likinitililika bila yakukata tamaa
 
😂😂😂nakubali mkuu
 
My favorite songs

1. Somebody love

2. Immortality

3. I drove all the night

4. Take me back to life

5. It's all coming back

6. Goodbye

7. Because You loved me

Kuna ngoma moja kaimba na sia kama uliicheki interview yake ya carpool alitoa kama kionjo
 
Na zile za kifaransa tamu mno aisee nikiwa natoka job ndio huwa zinanipunguzia uchovu wa foleni na ki IST changu taratiiibu naitafuta mbezi mwisho
 
Duh hili song huwa linanifariji sana kipindi ambacho nahisi napitia kwenye magumu. Jinsi anavyoimba huwa naona kama mlima mbele yangu alafu naupanda huo mlima huku nikiwa nimechoka sana huku machozi yakinitoka najasho jingi likinitililika bila yakukata tamaa
😁😁😁😁😁😁Acha uongo mkuu🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️
 
Back
Top Bottom