Celine Dion msanii wa kike mwenye rekodi kubwa duniani

Hahaha mkuu hivi hili song huwa linamaana gani?
There's days when the sun were so cruel, that my tears turn to dust and I just knew my eyes we'll dry up forever (forever)

I finished cry in the instant that you left and I can't remember when or how, and I banish every memory that you and I ever made

When she touch you like this, when she hold you like that. I just want you to admit that it's all coming back to me now

All coming back it's all coming back to me now there's moment of gold Nana nana na na nana naaa

Nimepuyangaaaa
 
Hahaha haya mkuu kuna baadhi yasehemu umepuyanga. Kuna sehemu anasema baby baby baby
 
When she touch you like this, When she hold you like that. I just want you to admit that it's all coming back to me. (hapa ndio ujapuyanga)
 
Na zile za kifaransa tamu mno aisee nikiwa natoka job ndio huwa zinanipunguzia uchovu wa foleni na ki IST changu taratiiibu naitafuta mbezi mwisho
Leo pitiliza hadi Kibamba Chama ule nyama za mbuzi, bili juu yangu
 
Nikiwa chuo miaka ya mwanzoni ya 2000's nilipata mtoto mkali wa kichaga baada ya ku-dedicate wimbo wa Celine Dion unaoitwa If that's what it takes.....
Mtoto alikuja akaniambia nichukue niwe wako wotewote, kwa miaka minne nikawa nakula mtoto mkali.
Mary wangu ameshaolewa na yupo zake Brisbane, Australia.
 
Nimecheka sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Enzi hizo ilikuwa hatari sana huwezi kupata demu mkali kama sio mjuzi kwenye mambo ya love songs.
Mtoto anaweza kuja room unamwekea playlist matata sana mpaka anajua unachotaka.

Nimecheka sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna messi wa hizo mambo anaitwa

Taylor swift
Kizazi cha stat ndo possible kizazi cha ovyo sana,ambacho ndo cha sasa.
Taylor na celine dion kuwaweka stage moja,daaah
Haya matusi sasa kwa living legend celine dion.
Ipo siku Mj atalinganishwa na jb-bieber sjui..
Watu wanaimba takataka nowdays, music iliisha 1990s na 2000s mwanzoni,hku mbele wapo wasanii wachache tu.
Bado wale makelele huu yaa yyee kwa skruu ree ree sjui mikosi sjui migos ipo sku watalinganishwa na london beats au kool and the gang.
Daaah,music ilkua zamani.
 
Hawa vijana wanakosea sana kuwalinganisha akina Celine Dion na Taylor Swift ambaye hana muziki mmoja tu uliotamba dunia nzima.
 
Kwani hujaona kina 50 cent wanasema brown kashampita MJ??[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…