Celine Dion msanii wa kike mwenye rekodi kubwa duniani

Kwani hujaona kina 50 cent wanasema brown kashampita MJ??[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23].. km kasema 50 yule mwehu mtu wa utani sana.
Ila mj na brown.dah
Mj bi zaidi ya kipaji,jamaa studio mpk ma producer walikua wanaona raha kufanya nae kazi,unalipwa parefu ila nusu kazi anafanya mwenywe.
Gretaest entertainer of all time MJ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…