warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Naizungumzia movie ambayo iliwahi ku make headline karibia ulimwenguni kote miaka hiyo,inaitwa TITANIC,pamoja na mwanamuziki mkongwe wa marekani CELINE DION,ambaye nyimbo yake ya MY HEART WILL GO ON ilitumika kama SOUNDTRACK kwenye movie hiyo, na kuifanya movie iwe na mvuto pamoja na radha ya kipekee.Swali langu kwa yeyote atakayekuwa ana idea,je ile nyimbo ilitengenezwa maalumu kwa ajili ya ile movie au ma director pamoja na producers waliipenda ile nyimbo na kuamua kuifanya kama sound track ambayo kwa namna moja au nyingine ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa kuteka hisia za mabilion ya watu walioicheki movie hiyo,