Celine dion ndani ya titanic!!..

Celine dion ndani ya titanic!!..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Naizungumzia movie ambayo iliwahi ku make headline karibia ulimwenguni kote miaka hiyo,inaitwa TITANIC,pamoja na mwanamuziki mkongwe wa marekani CELINE DION,ambaye nyimbo yake ya MY HEART WILL GO ON ilitumika kama SOUNDTRACK kwenye movie hiyo, na kuifanya movie iwe na mvuto pamoja na radha ya kipekee.Swali langu kwa yeyote atakayekuwa ana idea,je ile nyimbo ilitengenezwa maalumu kwa ajili ya ile movie au ma director pamoja na producers waliipenda ile nyimbo na kuamua kuifanya kama sound track ambayo kwa namna moja au nyingine ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa kuteka hisia za mabilion ya watu walioicheki movie hiyo,
 
Wimbo ulikua na sound track......
Kuna strori kwamba ule wimbo alikua aimbe Mariah Carey ila wenye filamu wakabadili mawazo dakika za mwisho....
 
Jamani CELINE DION ni mwanamuziki wa marekani?????????????:faint2::faint2::shocked::faint2::faint2:
 
Ule wimbo ulitengenezwa mahususi kwa ajili ya titanic, na alipofutwa kwa mara ya kwanza aimbe alikataa kufanya kazi hiyo
 
James Horner aliyehusika na masuala ya muziki katika filamu hiyo alikuwa amepanga mtu mwingine ndiye aimbe na inasemekana alikuwa ni Mariah Carey lakini kutokana na dharura James Horner na John Landau with James Cameron wakakubaliana Celine ahusike.
 
Back
Top Bottom