Cement imepanda bei, tutanunua hadi 18500. Tatizo lipo wapi?

Cement imepanda bei, tutanunua hadi 18500. Tatizo lipo wapi?

Leo viwanda vimetangaza upandaji wa bei ya cement, sasa itauzwa kwa kati ya 18,000 hadi 18,500 kwa dar. Najiuliza viwanda tunavyo hapahapa tatizo lipo wapi? Wataalam mtusaidie..

Hapo lazima kodi za nyumba zipande kwa kuongeza asilimia zaidi ya 10
 
Back
Top Bottom