Cement za Rhino na Lucky

Kama ulisoma ujumbe wangu wa kwanza, nilimaanisha hivyo ulivyoandika. Huwezi kusema nyumba ya ghorofa moja inachukua tofali kadhaa kwa sababu kuna factors nyingi sana zinafanya nyumba moja iwe na tofali nyingi zaidi ya nyingine hata kama zote zina AREA (eneo) sawa kwenye ramani.

Kwa mfano mie ninapoishi, urefu kutoka kwenye sakafu hadi kwenye Ceiling boards ni kama mita 3, ila kuna maeneo nimeshangia na kukuta urefu kama 2.5m au wengine hadi 4m hata zaidi. Sasa kwa urefu wa kuta hizo, huwezi kusema tofali zitakuwa sawasawa kwa idadi.

Akienda kwa Mchoraji ramani au mjenzi na ampe ramani ya nyumba yake, anaweza kupewa idadi ya karibu ya tofali.

Pia hata tofali zenyewe zinapishana. Kwa Kiingereza kuna Bricks na Blocks. Hata hizo Bricks na Blocks zinapishana na ndiyo maana kuna sijui British Standard, European Norms etc....

Kwa ufupi, swali lake lipo too general na kama kuna mtu atamjibu basi anamdanganya.
 
hakika hujaelewa ulichojibiwa, labda kwa kukusaidia, nyumba yenye ukubwa wa 300sqm na nyumba yenye ukubwa wa 150sqm zinaweza zote zikawa na function zinazofanana, yaani 3bedrooms, kitchen, master bedroom etc, kwenye ujenzi haziwezi kufanana cost, ndo maana fundi mchundo Sikonge akakujibu kwa mfano wa picha, na hili nalo ukibisha basi jibu ni mifuko 2000 ya cements,
 
jibu la Sikonge lilikuwa sahihi sana, shida ni kwamba mlimtafsiri vibaya, labda kwa vile katoa na picha ya bigshow mkadhani kajibu kwa dharau,
ni hivi, huwezi ku'estimate idadi ya mifuko ya cements kwa kujua tu idadi ya function space, kama bedroom, sitting, kitchen and the likes, hizo function space zinatofautiana toka kwa mtu mmoja na mwingine, mwingine anataka sitting room yenye 40sqm, mwingine sitting room yenye 16sqm, hiyo tu inatofautisha ukubwa wa nyumba, hata kwenye bedrooms hivyo hivyo, kuna bedrooms 10sqm na nyingine 20sqm kutegemeana na cliants needs, ndo maana Sikonge akamwambia mleta swali kuwa details zaidi zinahitajika, angetoa hata built up area ingekuwa rahisi ku'estimate.
 
Nakushkuru kwa kunielewa na kujibu vyema ila sielewi ni lugha gani ngumu kiasi hicho nilitumia nikaeleweka vibaya hivyo.
 
Nakushkuru kwa kunielewa na kujibu vyema ila sielewi ni lugha gani ngumu kiasi hicho nilitumia nikaeleweka vibaya hivyo.
duh! pamoja na ufafanuzi wote huo bado tu hujaelewa umeweka bifu????
 
duh! pamoja na ufafanuzi wote huo bado tu hujaelewa umeweka bifu????
Wala siwezi kufanya hivyo Mkuu kilichoniacha hoi ni hicho kwenye RED.

Kwa kweli sijuiyalitokea wapi may be this reply its not mine.
 
thanx 4 nondo
 
Vimefungiwa ivyo na magufuli.. Vinadaiwa mamilion na tanesco

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…