Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
Kama ulisoma ujumbe wangu wa kwanza, nilimaanisha hivyo ulivyoandika. Huwezi kusema nyumba ya ghorofa moja inachukua tofali kadhaa kwa sababu kuna factors nyingi sana zinafanya nyumba moja iwe na tofali nyingi zaidi ya nyingine hata kama zote zina AREA (eneo) sawa kwenye ramani.
Kwa mfano mie ninapoishi, urefu kutoka kwenye sakafu hadi kwenye Ceiling boards ni kama mita 3, ila kuna maeneo nimeshangia na kukuta urefu kama 2.5m au wengine hadi 4m hata zaidi. Sasa kwa urefu wa kuta hizo, huwezi kusema tofali zitakuwa sawasawa kwa idadi.
Akienda kwa Mchoraji ramani au mjenzi na ampe ramani ya nyumba yake, anaweza kupewa idadi ya karibu ya tofali.
Pia hata tofali zenyewe zinapishana. Kwa Kiingereza kuna Bricks na Blocks. Hata hizo Bricks na Blocks zinapishana na ndiyo maana kuna sijui British Standard, European Norms etc....
Kwa ufupi, swali lake lipo too general na kama kuna mtu atamjibu basi anamdanganya.

Sidhani kama aliuliza kwa ubaya nadhani huwezi kujenga bila kujua gharama ya utakacho kijenga... Thats why hata msanifu majengo akikuchorea ramani unayoitaka atakupa estimated cost ya jengo husika.. Then utaangalia kama utaafford au la abadilishe ramani. Labda ungemwambia amtafute Archtecture amuulize hilo swali.