Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Ukiulizwa sababu za China kuendelea na kujitegemea unaweza taja utitiri wa sababu lakini sababu kuu ya China kuendelea ni kuichukia historia nzima wao wanaiita "Century of Humiliation"
en.m.wikipedia.org
Hiki ni kipindi wachina waliishi katika maisha ya hovyo katika historia yao toka kuvamiwa na mataifa ya nje.
Walipambana na kujitoa katika makucha hayo na wakajiapiza haitakuja kurudia tena wao kufanya uzembe wa kuiishi chini ya mataifa ya nje na kunyanyaswa na kudharirishwa na kutweza utu wao.
Hii historia wachina wanaichukia sana na mara zote husema ni wao wenyewe walisababisha mpaka wakawa humiliated kwa sababu walikubali kuwa weak kila pande zinazohusu uimara wa taifa lao.
Leo hii wachina na serikali wanafanya kazi kwa bidii na mipango mikali kwa sababu wana amini kitu kimoja tu kuwa wakiwa imara kila pande hawatoweza kuwa humiliated tena na taifa lolote lile
2021 Xi Jinping Rais wa China na katibu wa chama cha kikomunisti aligusa hili kwa ujumbe mkali sana kwa taifa lolote litakalo jaribu kuwachokoza wachina walishangiliana sana pale Tianmen Square
View: https://youtu.be/8lyuvUDpLtI?si=1-32DzGK3_hCUFzV
Kwetu sisi waafrika ni kinyume chake kweli sisi hatuumia hata kidogo na historia ya utumwa na ukoloni hizi historia hazituumizi hata kidogo.
Na hata hatujutii makosa yetu mpaka kufikia kwenye utumwa na ukoloni.
Century of humiliation - Wikipedia