CEO Barbara amefeli na hatokuja kuinufaisha Simba SC

Hatukauliza Maendeleo.

Tunataka kujua amefanikiwa katika project gan ambayo ameianzisha yeye kama yeye..?
ushabadilika hujui unataka nini, unataka kujua project gani ameanzisha yeye kama yeye!,wakati uzi wako huu unalalamika Babra ajaleta maendeleo,eleweka unamalalamiko yepi,unataka project au maendeleo ya Babra?
 
Nafikiri ni bora kuwa na akili za kimbuz kuliko kuwa na akili za kikondoo, kondoo na mbuz nani mwenye unafuu, kama mnajua ivyo muache na yeye mwenyewe aache kujilinganisha na senzo, unalinganisha mlima na kichuguu mnazo akili kweli nyie!
Fatilia kuna taarifa ilitoka mwaka jana na uzi upo humu jf,kichwa cha habari kinasema"Babra akataa kulinganishwa na Senzo"
uwe unafatilia mambo kabla ya kucomment.
 
Haya Ndiyo mawazo ya utopolo, sasa kama kafeli wewe shida yako nini.
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…