Sio unapayuka,unajifanya kuwaponda wanao futilia mpira ila ukauki humu JF Sports, sijui na wewe ni chizi,kama unavyo waita wenzio.Unaweza ukathibitisha hivyo vitendo vya Ushirikina?????
Una chuki binafsi na Jemedari.
PUNGUZA WIVU WEWE NI MWANAUME SIO SHOGA.
Jeshi la Wachawi wa Tanzania (JWTZ)Hakuna jambo kubwa linaloweza kufanyika ndani taasisi bila CEO kufahamu na kuruhusu lifanyike. Kama anafahamu anajua na kama hafahamu anajua pia kuajibika kuko palepale.
JKT Tanzania wameonyesha vitendo vya ushirikina michezoni kwenye mechi ya nusu finali na yanga. Hii sio sawa kwa timu ya jeshi la Tanzania ambalo ndio "gold standard" ya uwadilifu na nidhamu nchini. Bila shaka hii sio tabia ya JKT Tanzania bali CEO wa timu ambae ni raia .
Kabla ya TFF kuiadhibu JKT Tanzania kwa ulozi JKT Tanzania wamuajibishe CEO wake kwanza na haraka kwa aibu hii.
Sidhani kama jamaa yupo sawa maana yeye kutukana anaona ndio ujanja sana.Sio unapayuka,unajifanya kuwaponda wanao futilia mpira ila ukauki humu JF Sports, sijui na wewe ni chizi,kama unavyo waita wenzio.
Haya clip hiyo hapo,sasa sijui na hii utabishana nayo.
View: https://www.instagram.com/reel/DJzNsRyqiI1/?igsh=MWxneXR0dnQ3ZGJ0YQ==
Sasa sijajua wewe ndiye Punga na huyo uliye mjibu kavulata ni mwanaume au ndio uliteleza.
Safi sana ulichoandika,ila naomba nikusahihishe kuwa nano sahihi ni kuonesha sio kuonyesha,neno kuonyesha kitenzi chake ni onya hivyo kuonyesha ni kutoa onyo sio kuoneshaHakuna jambo kubwa linaloweza kufanyika ndani taasisi bila CEO kufahamu na kuruhusu lifanyike. Kama anafahamu anajua na kama hafahamu anajua pia kuajibika kuko palepale.
JKT Tanzania wameonyesha vitendo vya ushirikina michezoni kwenye mechi ya nusu finali na yanga. Hii sio sawa kwa timu ya jeshi la Tanzania ambalo ndio "gold standard" ya uwadilifu na nidhamu nchini. Bila shaka hii sio tabia ya JKT Tanzania bali CEO wa timu ambae ni raia .
Kabla ya TFF kuiadhibu JKT Tanzania kwa ulozi JKT Tanzania wamuajibishe CEO wake kwanza na haraka kwa aibu hii.
Umeumbuka, umeinajisi taasisi nyeti sana kwa ulozi. CEO alipaswa kulala lingoma baada ya mechi ile kumalizika.Unaweza ukathibitisha hivyo vitendo vya Ushirikina?????
Una chuki binafsi na Jemedari.
PUNGUZA WIVU WEWE NI MWANAUME SIO SHOGA.
Huyo dogo ana msongo wa mawazo ambao unaelekea kumgeuza kuwa kichaa. Ila mwenyewe anajiona yuko sawa tu. Ni wa kumunoea huruma kwa kweli.Sidhani kama jamaa yupo sawa maana yeye kutukana anaona ndio ujanja sana.
Una maanisha,Hakuna jambo kubwa linaloweza kufanyika ndani taasisi bila CEO kufahamu na kuruhusu lifanyike. Kama anafahamu anajua na kama hafahamu anajua pia kuajibika kuko palepale.
JKT Tanzania wameonyesha vitendo vya ushirikina michezoni kwenye mechi ya nusu finali na yanga. Hii sio sawa kwa timu ya jeshi la Tanzania ambalo ndio "gold standard" ya uwadilifu na nidhamu nchini. Bila shaka hii sio tabia ya JKT Tanzania bali CEO wa timu ambae ni raia .
Kabla ya TFF kuiadhibu JKT Tanzania kwa ulozi JKT Tanzania wamuajibishe CEO wake kwanza na haraka kwa aibu hii.
Sawa lakini hatuko darasani, jibu hoja hii. JKT Tanzania ni taasisi ya watanzania wote, ni yetu pia. Hatuhitaji ishinde kwa ndumba maana sote tunafahamu wanaocheza mule wote ni watanzania, hivyo hatushangai kama itafungwa na timu zilizojaa wachezaji wageni wengi kama yanga. Kwanini uronge?Safi sana ulichoandika,ila naba nikusahihishe kuwa nano sahihi ni kuonesha sio kuonyesha,neno kuonyesha kitenzi chake ni onya hivyo kuonyesha ni kutoa onyo sio kuonesha
Nithibitishie kama Hapo CEO amehusika.Sio unapayuka,unajifanya kuwaponda wanao futilia mpira ila ukauki humu JF Sports, sijui na wewe ni chizi,kama unavyo waita wenzio.
Haya clip hiyo hapo,sasa sijui na hii utabishana nayo.
View: https://www.instagram.com/reel/DJzNsRyqiI1/?igsh=MWxneXR0dnQ3ZGJ0YQ==
Sasa sijajua wewe ndiye Punga na huyo uliye mjibu kavulata ni mwanaume au ndio uliteleza.
Viongozi wa Yanga, kwenye nguo zao za ndani kumejaa vinyesi- Haji Manara akimnukuu Wallace Karia,Hakuna jambo kubwa linaloweza kufanyika ndani taasisi bila CEO kufahamu na kuruhusu lifanyike. Kama anafahamu anajua na kama hafahamu anajua pia kuajibika kuko palepale.
JKT Tanzania wameonyesha vitendo vya ushirikina michezoni kwenye mechi ya nusu finali na yanga. Hii sio sawa kwa timu ya jeshi la Tanzania ambalo ndio "gold standard" ya uwadilifu na nidhamu nchini. Bila shaka hii sio tabia ya JKT Tanzania bali CEO wa timu ambae ni raia .
Kabla ya TFF kuiadhibu JKT Tanzania kwa ulozi JKT Tanzania wamuajibishe CEO wake kwanza na haraka kwa aibu hii.
Kama Sio yeye, atuambie ni nani kampa mchezaji uchawi wa kufukia kwenye eneo la penalti.Nithibitishie kama Hapo CEO amehusika.
MAUTOPOLO YAKIVUNJA MLANGO TAIFA ANAYEHUSIKA ANAKUWA NI MTINE?????Kama Sio yeye, atuambie ni nani kampa mchezaji uchawi wa kufukia kwenye eneo la penalti.
Hii imetufungua macho, timu zote zikicheza na timu fulani fulani zenye ukuruba na timu fulani ziangalie zaidi kwenye eneo la kipigia penati.
Ukishakuwa mkuu wa taasisi lolote litakalo tokea chini ya usimamizi wako lazima uwajibike. Ukiangalia ulaya viongozi wanao jiudhulu sio kwamba wao wamekosa,sometimes hata watu wake wa chini wanao msimamia wakikosea lazima awajibike.MAUTOPOLO YAKIVUNJA MLANGO TAIFA ANAYEHUSIKA ANAKUWA NI MTINE?????
Msicheze na wanajeshi vijana
MAUTOPOLO YAKIVUNJA MLANGO TAIFA ANAYEHUSIKA ANAKUWA NI MTINE?????
Msicheze na wanajeshi vijana
Hiiiiiiiii! Mkuu utapigwa hutasahau! Shauri yakoJeshi la Wachawi wa Tanzania (JWTZ)
Hiiiiiiiii! Mkuu utapigwa hutasahau! Shauri yako