Sio unapayuka,unajifanya kuwaponda wanao futilia mpira ila ukauki humu JF Sports, sijui na wewe ni chizi,kama unavyo waita wenzio.
Haya clip hiyo hapo,sasa sijui na hii utabishana nayo.
View: https://www.instagram.com/reel/DJzNsRyqiI1/?igsh=MWxneXR0dnQ3ZGJ0YQ==
Sasa sijajua wewe ndiye Punga na huyo uliye mjibu kavulata ni mwanaume au ndio uliteleza.
Kwahiyo kupitia milango mingine kuingia uwanjani na kumwaga vimiminika uwanjani TFF wanajuaje ni ulozi?Unawezaje kuamini huyo mchezaji alichokifanya hapo ni ulozi? ulozi ni nini?
SIMBA hawakupigwa faini SA kwa ulozi bali kuwasha moto uwanjani alafu kupigwa faini kwa kosa la kupita mlango usio rasmi na kumwaga vimiminika si kuashiria uchawi lakini ni kukiuka taratibu za uwanja na mamlaka husika. CC KYAGATAKwahiyo kupitia milango mingine kuingia uwanjani na kumwaga vimiminika uwanjani TFF wanajuaje ni ulozi?
CAF walijuaje kama Simba kuwasha moto uwanjani kule south Africa ni ulozi?
Ila hatushangai hata kwenye timu yenu ni kawaida na hamchagui pakufanyia.Msiwe vichaa.
1. Wachezaji wakifuga rasta Anayewajibika ni CEO.
2. Wachezaji Wakitoboa Soksi anayewajibika ni CEO.
3. Mchezaji akivuta sigara au Moshi anayewajibika ni CEO.
4. Mchezaji akishika Unyoya wa kuku anayewajibika ni CEO.
KAMA NDIO HIVYO HUMU KUNA MTAHIRA WENGI SANA.
SIBISHANAGI, SINAGA MUDA WA KUPOTEZA HASA NA VICHAA.Ila hatushangai hata kwenye timu yenu ni kawaida na hamchagui pakufanyia.View attachment 3338742
Sasa ushajiuliza why CAF aliipiga faini USD 10k timu na kuwaacha wachezaji au wachezaji walilipa USD 10k? Maana anaye approve malipo ni CEO,huwezi kumtenga CEO na kilicho fanyika jana au hiko kikundi South kilijiamulia tu chenyewe kufanya hivyo, tena wamefanya mbele ya CEO,mbele ya Camera.
Muda unao ndio maana kila thread upo kuponda wanao changa JF Sports, sasa sijui ww mwenyewe unatafutaga nini,acha unafiki tabia za kike hizo.SIBISHANAGI, SINAGA MUDA WA KUPOTEZA HASA NA VICHAA.
Hata akili huna. CEO ndiye anaesimamia DOs and DON'Ts kwenye kambi na kikosi. Ndiye msimamizi mkuu wa sera za timu. Ndiye anaetoa norms za timu na wachezaji. Hata meneja wa timu na kocha wanaripoti kwake. Lazima CEO awajibike, no excuse.Msiwe vichaa.
1. Wachezaji wakifuga rasta Anayewajibika ni CEO.
2. Wachezaji Wakitoboa Soksi anayewajibika ni CEO.
3. Mchezaji akivuta sigara au Moshi anayewajibika ni CEO.
4. Mchezaji akishika Unyoya wa kuku anayewajibika ni CEO.
KAMA NDIO HIVYO HUMU KUNA MTAHIRA WENGI SANA.
Bila kumung'unya mameno Jemedari amelivua nguo jeshi la kujenga taifa. Lengo la kumleta pale ilikuwa CV yake ya kucheza mpira sio uchawi.Muda unao ndio maana kila thread upo kuponda wanao changa JF Sports, sasa sijui ww mwenyewe unatafutaga nini,acha unafiki tabia za kike hizo.
Mpira hauna ushirikna hauamini hikooHakuna jambo kubwa linaloweza kufanyika ndani ya taasisi bila CEO kufahamu na kuruhusu lifanyike. Kama anafahamu anajua na kama hafahamu anajua pia kuajibika kuko palepale.
JKT Tanzania wameonesha vitendo vya ushirikina michezoni kwenye mechi ya nusu finali na yanga. Hii sio sawa kwa timu ya jeshi la Tanzania ambalo ndio "gold standard" ya uwadilifu na nidhamu nchini. Bila shaka hii sio tabia ya JKT Tanzania bali CEO wa timu ambae ni raia .
Kabla ya TFF kuiadhibu JKT Tanzania kwa ulozi JKT Tanzania wamuajibishe CEO wake kwanza na haraka kwa aibu hii.