CEO Simba Sc: Tulitaka kuwaalika Yanga Simba Supercup lakini wakakosa vigezo

Hii ndio imekuwa wimbo utadhani mlishinda mechi. Inakuwa kama mlivyokuwa mnasherehekea goli la Morrisson kila mwezi, matokeo yake mkaja kupigwa goli 4-1
tulipigwa nje ya uwanja kwanza kwa hongo ya 10,000 kwa morisoni hadi hakucheza cku iyo

ila tuisila hafai onyango alibamiza kipara chini nilicheka sana siku ile.
 
tulipigwa nje ya uwanja kwanza kwa hongo ya 10,000 kwa morisoni hadi hakucheza cku iyo
ila tuisila hafai onyango alibamiza kipara chini nilicheka sana siku ile.
Baada ya kucheka?
 
walijua yanga lazima wawafilimbe hahahaha wakaogopa wakaamua alika wazembe wazembe

alicho kifanya tuisila kwa onyango wanakikumbuka hahahahaha
Kweli wewe b.w.e.g... SIFA KUBWA YA HAYA MASHINDANO NI KUWA MSHIRIKI WA CHAMPION LEAGUE YA AFRICA. Sasa jiulize Yanga ANAINGIAJE HAPO. Yanga haikutosha VIGEZO.

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
al

kwamba wewe wajua sifa hiyo kubwa kuliko waliondaa na.kutaka kuwashirikisha.mabingwa wa.kihistoria.

Umelisoma bandiko lakini kwa nini walitaka alika mabingwa ama.umekirupuka kuonesha kiwango chako cha ujinga
 
Kuwa bingwa wa kihistoria ndio kulifanya msialikwe. Walio alikwa ni mabingwa kwa hiyo subirini kualikwa kwenye mashindano ya ubingwa wa kihistoria ambapo mtaalikwa nyinyi utopolo, majimaji, Kmkm na wengine wenye ufanano na nyinyi utopolo.
 
CEO kaogopa tu mkong'oto! Timu gani inacheza michezo yote, lakini haifungwi!! Yaani kuifunga Yanga basi ni droo!!!
 
Kuwa bingwa wa kihistoria ndio kulifanya msialikwe. Walio alikwa ni mabingwa kwa hiyo subirini kualikwa kwenye mashindano ya ubingwa wa kihistoria ambapo mtaalikwa nyinyi utopolo, majimaji, Kmkm na wengine wenye ufanano na nyinyi utopolo.
mkuu bingwa wa kihistoria huwa ni mmoja tu england unamkuta man u, italy juve hapa yanga ww kufika huko si leo na inawezekana usifike.

unajiita bingwa unapigwa na ruvu
 
mkuu bingwa wa kihistoria huwa ni mmoja tu england unamkuta man u, italy juve hapa yanga ww kufika huko si leo na inawezekana usifike.

unajiita bingwa unapigwa na ruvu
Uko sahihi ila hicho sio kigezo cha kualikwa, nimekuambia walioalikwa ni mabingwa wa sasa nyinyi subirini kualikwa kwenye mashindano kwa vigezo vya mabingwa wa kihistoria.

Kiufupi ni kuwa ili mualikwe mlitakiwa muwe mabingwa sasa na sio muanze kutukumbusha historia.
 
hadi leo nacheka mkuu,nyau wanalia tu
Ujue mechi iliisha kwa sare ya 1-1, Simba wanalia kweli kama ulivyosema, maana sio level yao kutoa sare na Yanga. Kwa upande mwingine Yanga wanachekelea hadi leo ile sare, na uthibitisho ni wewe mmojawao
 
Unachekesha wewe jamaa.
Apo kuna timu imechukua kombe la Africa mara mbili mfululizo wewe ambae hata robo ujawai kunusa unawaona wazembe?

Nyinyi ata uwanja wa mazoezi tu hamna,mishahara ya wachezaji pia hamna,mnasijili wachezaji miezi sita sita.
Lokosa ,maduhwa ,na matakataka mengine mmesajiri sita

Au hapo mnajisahaulisha?

Utelembwe bhna
 
hicho kigezo ni kwa mujibu wako ama barbara
 
walijua yanga lazima wawafilimbe hahahaha wakaogopa wakaamua alika wazembe wazembe

alicho kifanya tuisila kwa onyango wanakikumbuka hahahahaha
Kwa hiyo yanga ni zaid ya To Mazembe.Duuuh! Umeacha wapi akili,au kuna mtu kakushikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…