zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
tulipigwa nje ya uwanja kwanza kwa hongo ya 10,000 kwa morisoni hadi hakucheza cku iyoHii ndio imekuwa wimbo utadhani mlishinda mechi. Inakuwa kama mlivyokuwa mnasherehekea goli la Morrisson kila mwezi, matokeo yake mkaja kupigwa goli 4-1
ila tuisila hafai onyango alibamiza kipara chini nilicheka sana siku ile.