Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
๐ ๐ธ๐๐ฟ๐๐ด๐ฒ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ก๐ผ๐ธ๐ถ๐ฎ ๐ฎ๐น๐ถ๐๐ผ๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฐ๐ต๐ผ๐๐ถ ๐ต๐ฎ๐ฑ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐ป๐ถ "๐ต๐ฎ๐๐๐ท๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ฐ๐ต๐ผ๐ฐ๐ต๐ผ๐๐ฒ ๐ธ๐ถ๐ฏ๐ฎ๐๐ฎ ๐น๐ฎ๐ธ๐ถ๐ป๐ถ ๐๐๐บ๐ฒ๐ฝ๐ผ๐๐ฒ๐๐ฎ"
Inawezekana ikawa story mbaya kwa wale wapenzi wa vifaa vya Nokia ulimwenguni baada ya Ceo kuongea maneno mazito yenye Huzuni kubwa kwenye Mkutano.
Ilikua mwaka 2013, baada ya Nokia kutangazwa kuuzwa kwenye Kampuni ya Microsoft, mkurugenzi wa Nokia Stephen Elop wakati anamaliza Mkutano wake alinukuliwa akisema
" hatujafanya chochote kibaya. Lakini kwa namna fulani tumepoteza kila kitu." Alipomaliza kusema maneno hayo aliangua kilio. Hata hivyo baada ya kupita mwaka mmoja aliweza kufukuzwa kazi Toka Kampuni ya Microsoft ambao walikua wanamiliki hisa kubwa.
Toka miaka 1987 nokia alikua mzalishaji mkubwa wa aimu aliweza kuwa namba moja ulimwenguni asiyekua na mpinzani daima. Kumbuka nokia 6210 ilikua simu ya kipekee inaweza kukaa wiki mbili bila kuchajiwa.
Lakini baada ya ujio wa Kampuni ya Samsung na apple, Nokia alipoteaa kwenye Ramani mpaka leo amekua sio Tena Kampuni tis
hio.