๐—–๐—ฒ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ก๐—ผ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐˜‡๐—ถ ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ถ "๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ท๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ฎ๐˜†๐—ฎ ๐—นakini tumepoteza

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
๐— ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐—ด๐—ฒ๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ก๐—ผ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐˜‡๐—ถ ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ถ "๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ท๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ฎ๐˜†๐—ฎ ๐—น๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ"



Inawezekana ikawa story mbaya kwa wale wapenzi wa vifaa vya Nokia ulimwenguni baada ya Ceo kuongea maneno mazito yenye Huzuni kubwa kwenye Mkutano.

Ilikua mwaka 2013, baada ya Nokia kutangazwa kuuzwa kwenye Kampuni ya Microsoft, mkurugenzi wa Nokia Stephen Elop wakati anamaliza Mkutano wake alinukuliwa akisema



" hatujafanya chochote kibaya. Lakini kwa namna fulani tumepoteza kila kitu." Alipomaliza kusema maneno hayo aliangua kilio. Hata hivyo baada ya kupita mwaka mmoja aliweza kufukuzwa kazi Toka Kampuni ya Microsoft ambao walikua wanamiliki hisa kubwa.



Toka miaka 1987 nokia alikua mzalishaji mkubwa wa aimu aliweza kuwa namba moja ulimwenguni asiyekua na mpinzani daima. Kumbuka nokia 6210 ilikua simu ya kipekee inaweza kukaa wiki mbili bila kuchajiwa.



Lakini baada ya ujio wa Kampuni ya Samsung na apple, Nokia alipoteaa kwenye Ramani mpaka leo amekua sio Tena Kampuni tis
hio.
 
Pamoja na kuwa sipingani na uamuzi wa Nokia kuuza hisa kwa Microsoft ila niliona kama kosa la kiufundi kwa uamuzi wao wa kuuza hisa nyingi kwa Campuni ambayo ilikuwa haizalishi simu. Ina maana Mictrosoft ilikuwa waitumie Nokia kujaribu bidhaa mpya za Simu kitu ambacho ni very risk.
Wangewauzia hisa kama kama 30 - 40% ili microsofti wakifeli, waachane nao na wajikite kuzalisha simu za Android ambazo bado zinafanya vizuri sokoni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ