CEO wa Simba mashabiki walistuka kwamba wewe ni Yanga. Nimeanza kuamini

Umeandika point sana
 
Kenge nyie mnatakiwa mpigwe zingine 5 mfunguke vizuri subiri mechi ya marudio

Mwezi unaisha jambo ni hilo tu imekuwa DPW?

Mo ana akili kumbe ye kanyamaza
Kutana na wasiochangia hata 100 nyenyenye

[emoji16] CEO anaambiwa mbona we hulii mbwa nyie na bado hadi mashabiki mtatajana tu muda bado
 
Kwa hiyo ulitaka huyo CEO ajitokeze hadharani na kuanza kulia, ili aonekane ana huzuni ya timu yake kufungwa goli 5-1 na Yanga!! Au ulitaka awe mkali kwa wachezaji, kwani yeye ni kocha?

Kwa hili unawaaibisha mashabiki wenzako.
Mleta uzi ni gongowazi mwenzako
 
Hamumjui kajula
Ndio mwazilishi wa Simba day
Miaka hio mkiwa kwenu manjilinji
Kajula anakuwaje yanga kwa mfano
Simba day ilianzishwa na dalali au kwa sababu hajasoma . Kajura ni mfanyabiashara alitumia uwepo wake kuifanikisha. Hata Ahmed Ally ni yanga, kwa kifupi tangia Simba ianzishe.mageuzi umakini umepungua
 
hata wewe mwenyewe yanga ila hujijui tu kifupi hii kila mtu yanga hizi timu nyingine zipo kuchangamsha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…