Cha asubuhi huwa ni kitamu!

Cha asubuhi huwa ni kitamu!

Iwe Missionary Style, Iwe style za Mapokeo ya Kishenyento!

👉 Cha asubuhi ni muhimu kwa afya ya akili, husaidia kufikiria mambo mapya unapoamka asubuhi.

👉 Cha asubuhi huongeza ukaribu na mwenza wako.

👉 Cha asubuhi hudumisha upendo.

👉 Cha asubuhi kinaweza kusaidia kusahaulisha na hata kusamehe kosa la jana.

Asubuhi ni kimoko tu! Tatu Bila, waachie TMK! Wahi kazini, wahi ibadani!
Morning glory ndiyo mpango mzima.
 
Unaenda ibadani ukiwa umet@mb!!a cha asubuhi kweli?🤣
 
Iwe Missionary Style, Iwe style za Mapokeo ya Kishenyento!

👉 Cha asubuhi ni muhimu kwa afya ya akili, husaidia kufikiria mambo mapya unapoamka asubuhi.

👉 Cha asubuhi huongeza ukaribu na mwenza wako.

👉 Cha asubuhi hudumisha upendo.

👉 Cha asubuhi kinaweza kusaidia kusahaulisha na hata kusamehe kosa la jana.

Asubuhi ni kimoko tu! Tatu Bila, waachie TMK! Wahi kazini, wahi ibadani!
Mmh!!cha asubuhi kweli kitaamu,hata kama jana mlizozana,baada ya Cha asubuhi mambo yanakuwa shwaali stress zinatoweka ati,ndo maana si waislamu ukimpa mkeo taraka rejea, yatakiwa uendelee kuishi nae ndani ya geto,,kwani mawazo yaweza kubadilika uonapo anajipitisha pitisha mbele yako,loh mmmh jamaaani!!
 
Back
Top Bottom