Kingfish23
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 490
- 485
Kashachangamsha damu mwenzetuHii mada muda iliyopostiwa ni baada ya kupata cha asubuhi?😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashachangamsha damu mwenzetuHii mada muda iliyopostiwa ni baada ya kupata cha asubuhi?😂
Na huyo anayekuachaSasa utaachwa na nan ?
Ndio hvyo, mtoto alikuw ana asali yake ya kpekee ila imebd iwe popote ulpo sasa heshima yakoNa huyo anayekuacha
Morning glory ndiyo mpango mzima.Iwe Missionary Style, Iwe style za Mapokeo ya Kishenyento!
👉 Cha asubuhi ni muhimu kwa afya ya akili, husaidia kufikiria mambo mapya unapoamka asubuhi.
👉 Cha asubuhi huongeza ukaribu na mwenza wako.
👉 Cha asubuhi hudumisha upendo.
👉 Cha asubuhi kinaweza kusaidia kusahaulisha na hata kusamehe kosa la jana.
Asubuhi ni kimoko tu! Tatu Bila, waachie TMK! Wahi kazini, wahi ibadani!
🤣Sasa ubaya upo wapy hapo mkuuUnaenda ibadani ukiwa umet@mb!!a cha asubuhi kweli?🤣
Hewala baba yote sawa, maadamu mkono uingie kinywani.Sisi wengine asubuhi ndio muda mzuri wa kupiga debe
Kama Hamna uwezo wa kurusha chombo chochote kutoka Tegeta kwenda Kimara, mtaweza kurusha kitu gani kifike Pluto ?Wenzio tunawaza namna ya kurusha vyombo sayari ya pluto.wewe unawaza mangono tu.jinga sana
Mmh!!cha asubuhi kweli kitaamu,hata kama jana mlizozana,baada ya Cha asubuhi mambo yanakuwa shwaali stress zinatoweka ati,ndo maana si waislamu ukimpa mkeo taraka rejea, yatakiwa uendelee kuishi nae ndani ya geto,,kwani mawazo yaweza kubadilika uonapo anajipitisha pitisha mbele yako,loh mmmh jamaaani!!Iwe Missionary Style, Iwe style za Mapokeo ya Kishenyento!