Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Aaah wapi usiku usikubali deni likutoe kwenye reli,hata BOT wenyewe Wana madeni!!Kwanza madeni yetu bado ni stahimilivu🤔🤔Mwili unakufa ganzi, usiku umelala usingizi wa mang'amng'am, asubuhi unaamshwa na sms za madeni. Unakiona kipapa hapo na huna mzuka.