Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
We jamaa unaongea sana points ila tatizo lako mtu akikujaza upepo kidogo unahama kwenye pointsWatanzania hata kwenye kuongea huwa na maneno mengi nafikiri ni hulka yao. Kuna polisi Mkenya alikua anasema akimkamata Mtanzania Itabidi asimpe fursa ya kuongea maana ataongea kama mashini.
Japo pia kuna wale huwa napenda analysis zao kule kwa hayo majukwa mengine, tatizo Watanzania wengi wana uzembe wa kusoma, utakuta mtu ameandika taarifa ndefu yenye analysis muhimu lakini jamaa wanachangia kwa maneno machache yaliyojaa kejeli.
Waandishi wengi walitamaushwa na ni wachache waliosalia wanaoandika vizuri hivyo. Ipo wakat JF ilikua ya great thinkers, siku hizi imevamiwa na madogo wavaa milegezo wasiokua na heshima.
Napendaga unavyochambua tena kwa lugha ya kiswahili ila ukijazwa kidogo upepo unaanza kuongea ujinga ila upo vzr nakufatilia