samora10 JF-Expert Member Joined Jul 21, 2010 Posts 7,602 Reaction score 4,811 Sep 20, 2021 #41 Waanze kumchezesha Manara... Kama hatoshi tutawapa hata Mo!
F famad JF-Expert Member Joined Feb 19, 2019 Posts 372 Reaction score 481 Sep 20, 2021 #42 ..... d. Kupunguza idadi ya wananchi kwenye jezi zetu mana zinasababisha wachezaji wawe wachovu na wazito kukimboa uwanjani. e. Tufanye usajili mwengine kutoka Simba, pamoja na Senzo na Manara wataunganisha nguvu kuleta mafanikio
..... d. Kupunguza idadi ya wananchi kwenye jezi zetu mana zinasababisha wachezaji wawe wachovu na wazito kukimboa uwanjani. e. Tufanye usajili mwengine kutoka Simba, pamoja na Senzo na Manara wataunganisha nguvu kuleta mafanikio