Cha Kujifunza Mwananchi Kutoka Port Harcoat - Rivers United 1 - 0 Young Africans SC

Waanze kumchezesha Manara... Kama hatoshi tutawapa hata Mo!
 
.....
d. Kupunguza idadi ya wananchi kwenye jezi zetu mana zinasababisha wachezaji wawe wachovu na wazito kukimboa uwanjani.

e. Tufanye usajili mwengine kutoka Simba, pamoja na Senzo na Manara wataunganisha nguvu kuleta mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…