Cha wapi hiki?

Cha wapi hiki?

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,934
6621d637a3578c87738d315c955ad709.jpg

Aseee kila siku namseduce bae nami nionje hii kitu ila hatakagi....

Sasa jana kuna sehemu tulienda,wakati wa kurudi sa natoa vitu nishuke naona kipakti kina majani kimeekwa chini ya siti[emoji23][emoji23]kama zali vile....

Sijui alijisahau mwenyewe,nkakitia kune mkoba ka sio mimi...

Sasa today is the day...

Mkiona kimya jamani mjue nshazima...au hakizimishi???[emoji276]
 
hahahaha ule kwanza usije hisi chumba ulichomo ni jehanam
 
Chemshia chai kijiko kimoja utafurahi mwenyewe
 
Komea milango na madirisha kama home pako na house boy usijekuzima akakuchezea kunako ukavunja ndoa kwa kuzaa kid wakufanana na h/boy.
 
Komea milango na madirisha kama home pako na house boy usijekuzima akakuchezea kunako ukavunja ndoa kwa kuzaa kid wakufanana na h/boy.
Asee sina ndoa wala houseboy,i guess itakua more exciting[emoji39] [emoji23]
 
Piga hakinaga shida icho...
Tena kwa wewe mrembo ukipata na ka-wine alafu uingie mchezoni...
Mbona bae atakuletea daily.
 
6621d637a3578c87738d315c955ad709.jpg

Aseee kila siku namseduce bae nami nionje hii kitu ila hatakagi....

Sasa jana kuna sehemu tulienda,wakati wa kurudi sa natoa vitu nishuke naona kipakti kina majani kimeekwa chini ya siti[emoji23][emoji23]kama zali vile....

Sijui alijisahau mwenyewe,nkakitia kune mkoba ka sio mimi...

Sasa today is the day...

Mkiona kimya jamani mjue nshazima...au hakizimishi???[emoji276]
Asee mi nilidhani mahindi yalokaangwa kwenye sifuria yakatwangwa ndo yakamwagwa chini!!!
 
Back
Top Bottom