Cha wapi hiki?

Cha wapi hiki?

Ukishaakitumia tupe na majibu...tuelewe cha wapi hicho..ila natamani ningekuwa kando yako wakati unajinafasi....daah..!!
 
Asee sina ndoa wala houseboy,i guess itakua more exciting[emoji39] [emoji23]
scopio me umeshamtoboa mtu machoo?I mean unae anaekupenda kwamba ukim-call anakuja faster,nasema hivi coz isije stim ikakimbilia kusikofaa kutaniwa ukatoka nje na khanga moko kutaka kudaka hata bodaboda driver mkacheze macho kodo[emoji12]
 
6621d637a3578c87738d315c955ad709.jpg

Aseee kila siku namseduce bae nami nionje hii kitu ila hatakagi....

Sasa jana kuna sehemu tulienda,wakati wa kurudi sa natoa vitu nishuke naona kipakti kina majani kimeekwa chini ya siti[emoji23][emoji23]kama zali vile....

Sijui alijisahau mwenyewe,nkakitia kune mkoba ka sio mimi...

Sasa today is the day...

Mkiona kimya jamani mjue nshazima...au hakizimishi???[emoji276]
Yategemea na ndonga yako.. Bichwa panzi unazima, unaweza kutoka uchi ukijua umepiga kaunda suti.. N.k[emoji23] [emoji23]
 
scopio me umeshamtoboa mtu machoo?I mean unae anaekupenda kwamba ukim-call anakuja faster,nasema hivi coz isije stim ikakimbilia kusikofaa kutaniwa ukatoka nje na khanga moko kutaka kudaka hata bodaboda driver mkacheze macho kodo[emoji12]
[emoji23] aseee mnanitisha sasa...
Wa kum call akaja yupo,si ndo huyo nilomwibia hiyo kitu...
 
Zawadi gani? Niijue kwanza[emoji276]
Rafiki nataka nikupe Mshana Jr ujichukulie mazimamazima bure kabisa bila kulipa hata senti kumi![emoji1][emoji116]
 
Attachments

  • 1478012447112.jpg
    1478012447112.jpg
    16.9 KB · Views: 33
[emoji23] aseee mnanitisha sasa...
Wa kum call akaja yupo,si ndo huyo nilomwibia hiyo kitu...
Basi hapo kiroho safi nenda kaishughulikie,kama pana kaugolo somewhere changanya kidogo...nakuhakikishia utaiona New York kwenye sebule yako bila hata visa.
Note.mseto huu ulishawahi kumfanya mtu nnae'mfahamu akaogea maji simtank 1000lt still akaona hajatakata akaenda kuchukua maji ya mama mwenye nyumba kwenye jaba ili ajisuuze,kilichomtokea usitake kuambiwa.
 
Mweh huo mjani sumu kumbe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aseee
 
aseee yan ukiona ivo vimbegu mbegu kama vitunda ujue iko chenyewe cha jamaica....

feedback muhimu, kunachalii alichimba shimo la choo alone kwa masaa 12, sasa sijui wew utafanya kituko gani!
 
aseee yan ukiona ivo vimbegu mbegu kama vitunda ujue iko chenyewe cha jamaica....

feedback muhimu, kunachalii alichimba shimo la choovalone kwa masaa 12, sasa sijui wew utafanya kituko gani!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naeza niende hadi HESLB kudai changu
 
6621d637a3578c87738d315c955ad709.jpg

Aseee kila siku namseduce bae nami nionje hii kitu ila hatakagi....

Sasa jana kuna sehemu tulienda,wakati wa kurudi sa natoa vitu nishuke naona kipakti kina majani kimeekwa chini ya siti[emoji23][emoji23]kama zali vile....

Sijui alijisahau mwenyewe,nkakitia kune mkoba ka sio mimi...

Sasa today is the day...

Mkiona kimya jamani mjue nshazima...au hakizimishi???[emoji276]
Nikupe hongera kwa kumpata anayetumia iyo sakrament [emoji106] [emoji106] [emoji106]

Tumia dada ni tree of wisdom inaongeza confidence na tambua watu wengi wanafail maisha au malengo yao kwa kukosa confidence na hakuna chuo kinachofundisha confidence
 
Mbona wakubwa zetu hutukataza?
 
Back
Top Bottom